Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

Mahari za namna hii ndio maana wanaume wanapata haki ya kuwanyanyasa wake zao......sababu kama wameuziwa hivi ..........
 
Wakikuona mshamba lazima wakupigeπŸ˜€

Yaani wanawake walivyojaa mtu atoe NG'OMBE 40 au atoe mahari hata milioni 3. Kwa dunia ya sasa si atachekwa!
 
Kwani aliyetoa bikira alilipa ng'ombe ngapi? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwani ngombe 40 kwa makadirio Ni sh ngapi?
Ninavyojua katika mahari ng'ombe huthaminishwa kwa laki mbili, so hata mtu akitoa million mbili inatajwa ni mahari ya ngombe kumi. Jamaa atafute wazee, arbagain ht ng'ombe ishirini, awape million ambayo ni 5, myingine aseme atamalizia, full stop
 
Kumbe rahisi hivi hauwezi kosa m8 aisee mimi nilipiga ng'ombe moja laki 8 hadi milioni so nikaona m 34 hadi m 40 parefu mno
 
Na hao ng'ombe ni vitoto ng'ombe au..me siwezi nunua ng'ombe nitawap max milion 4 hao ndo watajua wanunue nini
 
Ninavyojua katika mahari ng'ombe huthaminishwa kwa laki mbili, so hata mtu akitoa million mbili inatajwa ni mahari ya ngombe kumi. Jamaa atafute wazee, arbagain ht ng'ombe ishirini, awape million ambayo ni 5, myingine aseme atamalizia, full stop
Mkuu elewa hawataki hela wanataka ng'ombe kama ng'ombe yule mnyama!
 
Tafuta wazee wakaongee, kwa miaka ya sasa hakuna biashara za kupeleka zizi, ila wakikomaa nashauri achaneni na huyo bidada au mtieni mimba tu. Mahali itashuka yenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…