Sitaki kusema ni sawa ila; Ukienda kuchumbia kwa wamasai/wasukuma OG unategemea upewe Mahari kama aliyechumbia mzaramo?Nina mshkaji wangu, homeboy wangu kabisa ana mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2.
Wanachukuliwa kwa gharama then wanaishia kunyanyasika....mwanaume akikulipia mahari wastani bas hata kukuacha aumii.Mahari kubwa ataumia kukuacha mtaishia kuuana tuSimiyu ndo walivyo mimi kuna mmoja alishawahi leta habari za ngombe 40..mimi nokamwambia naweza toa iphone 6 tuu...🤣🤣🤣 yani 3m-4m kwa wanyantuzu ndo kawaida yao mzeee
Hahahaa sasa wazazi wanajumlisha gharama walizotumia utafikiri anaeenda kuoa wazazi wake hawajatumia gharama yoyote ile...Wanachukuliwa kwa gharama then wanaishia kunyanyasika....mwanaume akikulipia mahari wastani bas hata kukuacha aumii.Mahari kubwa ataumia kukuacha mtaishia kuuana tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wanataka waanzishe mnada au?[emoji41]
Wewe siyo mzazi wao ndiyo maana unashauri hivyo.Kwamba wamemsomesha Kwa gharama? Kwahiyo dem atamkabidhi jamaa degree yake au[emoji1787],,Ndo mana mwanamke anakuwa ni kama kanunuliwa, me dada zangu nashauligi waende bureee Kwa wanaowapenda wakizunguliwa tu nawaambia warud
Sent using Jamii Forums mobile app
Na 40 hawapunguzi chochote maana siku unatoa mahari unakuta mwaka huo unazalisha wengine more than that.Kwa wasukuma ng'ombe wa mahari bei yake ina_range 170,000 -200,000
In short ng'ombe 40 ni sawa. Na Ths 8,000,000/=
Ng'ombe wa mahari range ya price huwa 160000- 250000.Kwani ngombe 40 kwa makadirio Ni sh ngapi?
Faini ni Ng'ombe mmojaAliye mwambia aowe nani kajitakia nakupa mbinu tia mimba hiyo ng'ombe yao watapunguza tempa mtayazungumza utalipia ng'ombe 2 tu badala ya 40