Ni HAKIKA na KWELI, Bila polisi CCM hawana uwezo wa kupambana na CHADEMA

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Hata kipofu kwa kutumia milango ya fahamu iliyobaki anatambua CCM bila polisi hawawezi kushindana na CHADEMA. Kila mtanzania hata ccm wenyewe wameshatambua kabisa kuwa ccm haina chake tena nchi hii.

Hii kwa sasa haipingiki, ccm ina exist kwa nguvu ya polisi, siku polisi wakisema hawataki kuibeba ccm itakuwa the thing of the past.

Kupiga marufuku mikutano ya siasa hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kabisa hii ni kwa ajili ya kuiepushia ccm na aibu inayoipata kupitia moto unaowashwa na Heche kwenye hii mikutano iliyokuwa inaendelea. Na laiti hii mikutano ingefika nchi nzima basi anguko la ccm lingetokea miazi michache kuanzia sasa, kuzuia mikutano ya CHADEMA, (nasema ya CHADEMA kwa sabubu mlengwa hapa ni chadema, hivyo vyama vingine ni scapegoating) itachelewesha tu anguko la ccm ila anguko liko palepale, wamelisogeza mbele tu kidogo.

Ushauri wangu kwa ccm, muda umewakataa, kuna methali inasema “wakati ukuta” msishindane na wakati. Kila zama na nabii wake, hizi sio zama zenu. Zama zenu zimekwisha, hizo kwa sasa ni “zilipendwa” msilazimishe, mkilazimisha mtatuharibia nchi zaidi. Tayari nchi mmeshaiharibu vya kutosha msiiharibu zaidi, waachieni wananchi wachague chama wanachokitaka ambacho kwa sasa wanaitaka CHADEMA. Ccm mmeua watanganyika, mnateka, mnapora uchaguzi, mnafisadi mali za umma na mbaya zaidi mnakopa halafu mnagawana hizo hela. Wananchi hawawataki tena. Msilazimishe, watanzania hawawataki tena, au mnataka kuua tena?

Note: Mtu aliyeshinda uchaguzi kwa 98% hawezi kupiga marufuku mikutano ya kisiasa
 
Mbona hilo liko wazi kabisa. Wala halina kupingwa.
 
CCM SIO CHAMA CHA SIASA OVA
CCM ni kusanyiko la vibaka,wezi,majambazi,mafisadi na wote wanaoongozwa na nia ovu dhidi ya maliasili za Tanganyika na watanganyika wenyewe.Hao viumbe siyo wa kuchekewa hata kidogo.Noma kwa noma tu!
 
Hata kipofu kwa kutumia milango ya fahamu iliyobaki anatambua CCM bila polisi hawawezi kushindana na CHADEMA. Kila mtanzania hata ccm wenyewe wameshatambua kabisa kuwa ccm haina chake tena nchi hii.

Hii kwa sasa haipingiki, ccm ina exist kwa nguvu ya polisi, siku polisi wakisema hawataki kuibeba ccm itakuwa the thing of the past.

Kupiga marufuku mikutano ya siasa hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kabisa hii ni kwa ajili ya kuiepushia ccm na aibu inayoipata kupitia moto unaowashwa na Heche kwenye hii mikutano iliyokuwa inaendelea. Na laiti hii mikutano ingefika nchi nzima basi anguko la ccm lingetokea miazi michache kuanzia sasa, kuzuia mikutano ya CHADEMA, (nasema ya CHADEMA kwa sabubu mlengwa hapa ni chadema, hivyo vyama vingine ni scapegoating) itachelewesha tu anguko la ccm ila anguko liko palepale, wamelisogeza mbele tu kidogo.

Ushauri wangu kwa ccm, muda umewakataa, kuna methali inasema “wakati ukuta” msishindane na wakati. Kila zama na nabii wake, hizi sio zama zenu. Zama zenu zimekwisha, hizo kwa sasa ni “zilipendwa” msilazimishe, mkilazimisha mtatuharibia nchi zaidi. Tayari nchi mmeshaiharibu vya kutosha msiiharibu zaidi, waachieni wananchi wachague chama wanachokitaka ambacho kwa sasa wanaitaka CHADEMA. Ccm mmeua watanganyika, mnateka, mnapora uchaguzi, mnafisadi mali za umma na mbaya zaidi mnakopa halafu mnagawana hizo hela. Wananchi hawawataki tena. Msilazimishe, watanzania hawawataki tena, au mnataka kuua tena?

Note: Mtu aliyeshinda uchaguzi kwa 98% hawezi kupiga marufuku mikutano ya kisiasa
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Wamethibitisha walivyo wepesi na jinsi walivyokataliwa na hadhira
 
pwagu anawapiga kamba mapwaguzi 🤣
 
Back
Top Bottom