Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spot on. Chama cha siasa kinaruhusiwa kuendesha vikao vyake Ikulu? Ni bora tujue wazi kama siku hizi Ikulu inakodisha kumbi za mikutano na sisi tukaombe kuendeshea meetings na ma-conference mle.
Kuna jambo moja kubwa ambalo ni wazi na watu wameliongelea mara kadhaa hapakwa lugha tofauti tofauti ingwa maana ni ileile juu ya kuwa mwanachama wa CCM, Ukishakuwa mwanaCCM hata ungekuwa na upeo wa kiwango cha hali ya juu utafikia kiasi cha akili yako kuwa retarded, kama huamini kumbuka mara ngapi watu tumelalamikia jambo hilo na bado linaendelea kufanyika kama hawana akili timamu ya kuelewa kinacholalamikiwa na kuendelea kukenua meno tu?
Inaonyesha kikao cha kwanza was not a mistake to them. Ndio maana wameamua kufanya kakao cha pili tena Ikulu. We will probaly see these sort of meetings Ikulu. Kuna practice inajengeka hapa na kama watu hawatachukua hatua vikao vya chama vitakuwa vinafanyika Ikulu sasa.
Kikao cha jana pia kilifanyika Ikulu. Pichani, Mwenyekiti wa CCM akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM kilichofanyika Ikulu jijini Dar Es Salaam jana.
![]()
EMT yaani hii imejirudia tena licha ya mkutano wa siku tatu au nne zilizopita?
Inaonyesha kikao cha kwanza was not a mistake to them. Ndio maana wameamua kufanya kakao cha pili tena Ikulu. We will probaly see these sort of meetings Ikulu. Kuna practice inajengeka hapa na kama watu hawatachukua hatua vikao vya chama vitakuwa vinafanyika Ikulu sasa.
Siku hizi CCM wanajiamulia tu!
Maneno yako ni ya kweli kabisa, CDM wakienda ikulu tena hakuna kupewa Juice , mambo ya kuomba glass mbili mbili za juice zinatia hasara taifa.Naomba kujuzwa....Je ni halali kuendesha shughuli za Chama cha siasa ndani ya IKULU au haya pia ni mapungufu yaliyomo ndani ya Katiba yetu ya sasa?? Hivi vyama si vinakuwa na ofisi zake kwa shughuli zake sasa iweje CCM mara kadhaa vikao vyao wanavifanyia IKULU.....Vikao vyao hivyo vinagharimiwa kwa fedha za chama au kwa fedha za Watanzania????
Maneno yako ni ya kweli kabisa, CDM wakienda ikulu tena hakuna kupewa Juice , mambo ya kuomba glass mbili mbili za juice zinatia hasara taifa.
CCM ni chama kiongozi nchini mwetu,Viongozi wa CCM ndo hao watawala wa serikali yetu...kwahiyo CCM ndio Serikali...Hivyo HAKUNA UBAYA VIKAO KUFANYIKA IKULU!! ni mangapi yamefanyika ya kichama ndani ya IKULU lakin hayakuwekwa hadharani....conclusion ni HALALI hata kama hutaki kukabali ndio hivyo ishakuwa..