Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

Kila cku vikao,wameona chama kinapoteza umaarufu kila cku
 
Lazima mjue tabia ya mtu. Mzee hapendi safari safari, wacha afanyie kazi zake mahala anahisi usalama na amani. Huko Lumumba watu hawaachi glasi mezani utajiamini vipi!
 
Teh teh......
Mtoto wako akiolewa sehemu, si vibaya wazazi kwenda kumtembelea.
 
Siku hizi Sisikii zile Mbwembwe za kutaka Rais Mwenye Maamuzi Magumu!

Mkuu zitoke wapi, maamuzi magumu yametafsiriwa vibaya yamekuwa maamuzi mabovu. Maana wanaotekekeza hayo maamuzi magumu sio wabunifu wao kazi yao ni kuiga na kutumia nguvu tu. Matokeo yake imekuwa sio magumu bali mabovu. Mfano watu wanasema watu wachape kazi lakini wakati huohuo wanachukua maamuzi magumu ya kuwapunguza watu kazini!! Ni kweli watu wanataka kufanya kazi, je hizo kazi ziko wapi? Ama watu kesho waende huko maofisini wapangiwe kazi? Najua watasema watu wakalime, mvua umeziona?
 
Back
Top Bottom