Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Mbona nguo na viatu vya mitumba unalipia pesa?
 
Asante sana
 
Hii mada ni ngumu sana kupata muafaka, ukizingatia hiki kizazi cha sasa, mtoto wa kike anatolewa bikira kabla hajavunja ungo..!!
 
Mbona nguo na viatu vya mitumba unalipia pesa?
hahaa mkuu unawaponda huku ukijua unawatetea unawafananisha na vitu vya mtumba tunavyonunua bei che.
 
Hao mbuzi wanaotoa bikra za wadada wako wapi kwanza?
Waje tukae kikao.
 
Kama wanaume wote tukifanya hivi wazazi watawalinda mabinti zao, na mabinti watajilinda.
Wadada wote waliotolewa ubikra walitoa penzi pasipo kubakwa. Labda ni 0.00001% tu ndio waliopoteza bikra kwa kubakwa.
Jukumu la kulinda bikra ni la mzazi na Binti mwenyewe na si kijana wa kiume. Kijana wa kiume ukilegeza lazima akutoe bikra.
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu akafurahia ndoa yake kwa 100% huku akijua
bikra ya mke wake hakuitoa yeye.
Jamii irudi katika mstari wake.
Huyu shangingi anamuuliza mwanahabari Dunia hii bikra ataitoa wapi ?
Kwani hiyo bikra ya msichana siku hizi inaibwa na wachawi?
Huyu mwamba nitatafuta namba yake tumfanyie harambee kwa kukataa kubebeshwa zigo.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu mwanamke anayesimulia ni wale ''made in uswazi'' pure. Uswahili mtupu na maneno kama amemeza cherehani. Halafu body language yake basi. Uswahili wa namna hii ndiyo umeathiri hata maendeleo ya Tanzania. Kla kitu ni maneno mengi. Pumbafu.
 
Ukiskia kua historia kabla ya siku zako hazijafika ndo hii sasa
 
Dah uongo sio mzuri ila pia kuguezia gia angani ni ujinga uliotukuka

Kwa zama hizi bikra sio issue ila kipengele ni mileage sasa😂😂

Je gari limetembea kilomita ngapi???

Kuna wengine wametembea kilomita nyingi ila miili yao iko vyema unakutana na kinanda kama ndinga imetoka kiwandani juzi

Kuna wengine sasa wamechoooka, hapo lazima umkache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…