Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,

Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa

Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.

je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
ni ufala kununua mgodi ambao ulishachimbwa madini ya kutosha na kubaki PANGO.
 
Kuna raha yake aisee kuoa Bikra,.....hamu ya kuchepuka inakata.....una mheshimu na kumthamini mkeo kuliko yeyote.....Mwanaume ukipata mke bikra unakuwa na huruma sana kwake.....hata akikufanyia kosa utamsamehe kirahisi tu maana ukikumbuka alivyojitunza kwaajili yako, unapata kaufahari flani.

Lakini kuoa Used material yakupasa uwe na moyo!....Ukivuta picha kuwa alikuwa mtu wa 'blow job', alafu wewe ukalipe mamilioni kama mahari dah! noma sana.....Inabidi ucalculate depression cost.
102% upo sahihi hadi umepitiliza
Ila mimi kwa maoni yangu ni kwamba Tanzania tunavaa mitumba, tunaendesha magari mitumba, tunafunga mashine mitumba viwandani kwetu na vyote hivi hatuvipati bure tunalipia. Hivyo basi mkuu kalipie tu kwakuwa uko Tanzania ukienda nchi zinazotumia vipya tuu ibua hii hoja yako ni nzuri sana mkuu ila si kwa Tanzania yetu.
 
Unamleta ni bikra mapenzi hajui halafu unamtukana ndani eti hajui mapenzi na unamsaliti nje kwa ambao sio mabikra

Ushauri mruhusu umpendae atoke nje ili akajifunze mwanaume anapenda nini na amfanyie nini akija kwako sio mwanafunzi tena
 
",,,,,yaani nichukue scrapper for 2m ya
nini yote hiyo....?"

mkuu hujawa tayari kuoa. siku ukiwa tayari hautakua tena na huo msamiati kwenye mdomo wako na mahali utatoa tu.
 
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,

Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa

Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.

je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
Unalipa mahari 2m alafu mtu anakuja kukupikia chapati ngumu kuliko maisha yako
 
Ukioa mwanamke ambaye sio bikira ni kwamba umeoa mke wa mtu..
 
Ndo kuoa gan huko kwa mkopo,?
Haina haja ya kutoa mahali....yaani unaenda kwa wakwe kuwaeleza kwamba utajitahidi kutafuta kidogokidogo utawalipa.......ila andaa kakiwango kadogo ka kuwaachia uendepo kujieleza kuhusu unavyompenda Mtoto wao na kuwaahidi utalipa mahali wewe mwenyewe na si wazazi wako......, ulieleza kwa hisia na mwenzio mtarajiwa akikusaidia kutoa maelezo, unaondoka naye Mtoto na ukifika huko futa wazo la kuwamalizia mahali...concentrate kuzaa watoto tu!.....hahahhaahaah
 
Si halali hata kidogo. mwanamke asie bikra si wa kutolea mahari hata kama ingekuwa ng'ombe mmoja tu kwangu never I can't buy a second hand ke and bring it in my household.
Used waoane wao kwa wao
 
Back
Top Bottom