Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Namuunga mkono mtoa post, haiwezekani nitoe pesa nyingi kwa binti aliyechezewa vya kutosha. Wazazi kama mnataka mahari kubwa watunzeni watoto wenu vinginevyo huo ni utapeli
 
Hamlipiwi mahari sema nyie nanyi mnafumuliwa malinda! Kwahiyo ukinichumguza mimi na mimi nitakuchunguza nyuma huko kuwa uzima upo??
hahaa kwani wewe huko nyuma kwangu unakutumia kufanya nini mpaka ukague.
 
mahari ni zawadi ya kumtunza binti, sasa binti hajatunzwa unatoa mahari ya nini.
Mwache aende atakutana na aliye tayari kumlipia hiyo mahari na wewe endelea kutafuta unused wakati umri unasonga mbele.
 
Mwache aende atakutana na aliye tayari kumlipia hiyo mahari na wewe endelea kutafuta unused wakati umri unasonga mbele.
madam Sky Eclat sio kwamba nataka kumuacha au natafuta unused hapana, nachosema sio halali mimi kumtolea mahari.
 
Kweli? Na ukishindwa kuulipa je[emoji45] [emoji45]
Wakitaka kumchukua mtoto wao watakuja ila hakikisha amezaa angalau watoto watatu, hawatakuja kukusumbua tena. Then utalipa mahali kadri Mungu atakavyokuongoza, wengi miaka hii wanaoa hivyo, usije ukaona harusi nyingi ukadhani wote wanakuwa wamelipa mahali la hasha! bali ni baraka za wazazi kulidhia mtoto wao atoke nyumbani hata kwa mkopo ila kwa FURAHA TELE kwa kuchanga michango ya sherehe tuu!!
 
Ni Mwanaume limbukeni ambaye hulipa mahari kwa mwanamke asiyebikra.

Kiutamaduni, kama mwanamke sio bikra basi mahari hurudishwa kwa mwanaume. Pia hata kidini.

Ni aibu kwa upande wa Mwanamke kumkabidhi mtoto wao huku akiwa hana utepe.

Pia kama bikra haitakutwa baada ya mahari kurudishwa, mwanaume huulizwa kuwa yupo tayari kumuoa hivyo hivyo huyo ilihali bikra haipo. Basi ikiwa atakubali basi sherehe huendelea lakini mahari haotolewi.

Pia ni dhambi kuoa mwanamke bikira bila kumtolea mahari. Kiutamaduni na Kiimani
 
Du si nilienda mwenyewe kwani nililazimishwa? mie ndie mjinga.Lawama zote nazibeba mie.
Asante kwa kukubali Ujinga,sasa ukipata mtu mwingine usimlazimishe kulipa mahari muache atumieeee hadi aamue yeye kwenda kutoa mahari,tena aamue yeye anatoa kiasi gani!Okay?
 
hapo atoe mwenyewe mahari kwa kuwa kiwambo ndani wameshakitoa kama hataki ajisepeshe mwenyewe
 
Back
Top Bottom