Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

mkuu unawapa hasira wadau waliooa used kwa gharama.
He he he! ukute mtu alioa 'used equipment' kwa mahari ya 5M na hajawahi kumtoa mtu bikra, lazima atamani kummezaa mtu.

Ukioa bikra huwezi kusikia eti huyu alikuwa EX- wangu, loh! tofauti na hapo jiandae kuwa na msusuru wa ME wenzio wanaojikumbusha enzi na Mkeo kwa kumpiga miti.
 
shalet wala usijari wewe muache ataolewa na ambao hawataki bikra tena watamuonga hadi gari nyumba etc. kumbuka na dada zako hawana bikra. shalet nimekushangaa sana una maneno makariiiiii hivi? scra.......
sory kwa maneno makali best, kweli dada zangu 2 hawana manake wamezalishwa wako home wala hatumshikii mtu bunduki awaoe wala hatudai mahari kwa mtu wakitaka wabaki wawe mahousegirl home wakitaka waende kwa masharobaro wao kwetu hatujali.
 
Eti nataka yote atoe mwenyewe, wewe huoni aibu mwanaume mzima kutolewa mahari na mwanamke? Sasa hapo utakua umeoa au umeolewa!!? [emoji57]
mkuu mie nagharamia harusi, mzigo feki nitoe 2m ya nini yeye anataka kuchangia 1m kiharakisha mambo ila namsilikizia mpaka aweke mezani mzigo wote.
 
Si bure wewe!!! unajisifia kabisa kulipiwa mahari na mwanamke!!!!!
silipiwi, anajilipia mimi namsaidia kumtunzia heshima kuwa nilimkuta used, kusema kweli sitatoa hata shillingi.
 
Je kabla ya kumpata uliwahi kukutana nayo? je ulimuoa? mie nilijitunza hd miaka 28 na sikuolewa inawezekana aliniacha mie akaenda kwa screpa.
kwann ulikua nayo kwa muda wote huo kama hukuona umuhimu wake
 
unachotakiwa kusema ni hivi ukimtoa mwanamke bikra ulazimishwe kumuoa,cio unatoa bikra anawachia wengine waoe we unaendelea kutoa wengine!na ukikutana na ambaye hana bikra,u r a free man,ukiridhia kumuoa, ajilipie mahari period!
 
Ata mimi naunga hoja mkono, siwezi kulipia mikweche, labda nipewe bure
 
Usikariri mkuu...
mada inahusisha "mahari" na "Bikra"
unavyojipo "QUOTE" za watu fungua akili na ufikiriee kwanza

Kwanini mnakua wakumu na kuegemea upande mmoja?
Bikra tuwatoe sisi bado tuwadhalilishe kwenye swala la kuwaoa?
Wewe kwa akili yako kila mtu katoa bikra ya mtu?! Kuna wengine hawajawahi kukutana na hizo bikra, sasa kwa nini wakulipie wewe mtoa bikra? kama huwa unatoa uwe unalipia kabisa ili hao wanawake wakija kuolewa waolewe bure tu. Na kutolipa mahari ni kudhalilisha kivipi kama penzi wanatoa wenyewe bila kulazimishwa?
 
m3s.jpgaa3e57ec-679f-4c8e-b6e9-e3d7df1b5418Large.jpg
 
We mbona kiherehre? Mwache ajibu mwenyewe yeye si anataka kulipiwa mahari mwache alipiwe basi!!!
Ushaishiwa hoja wewe. Unajua kwa nini hii ni forum? Anyway I am out. Hustahili hata kujibiwa wewe.
 
Mjinga wewe, km screpa bado uko nae wa nini. Muache dada wa watu aangalie ustaarabu mwingine.
Yaan kuna mijanaume huwa inajiona miungu watu kutwa kukosoa wanawake khaaa. Na wakati yenyewe huko yameshatumika mpk basi,kiasi kwamba km ingekuwa ukikitumia kinaisha, wengi wenu humu mnaopondea wanawake wala msingekuwa navyo.
Mbona ht nyie mna mapungufu makubwa tu lkn tunawavumilia.
Na huyo msichana atakuwa mpole, ila ningekuwa ndio mm ht nisingehangaika na wewe.
 
Chagua baba,chagua mwisho wa siku utawashangaza watu kuchagua visivyochagulika.
 
Back
Top Bottom