Kasiane
Member
- Apr 20, 2016
- 82
- 57
Doh pole sana dada yangu, wewe inaonekana ata aliyeitoa umkumbuki. Lakini usiogope unaweza ukabahatisha kumpata zuzu ukamshikisha hiyo scraper na akailipia mahari.Mjinga wewe, km screpa bado uko nae wa nini. Muache dada wa watu aangalie ustaarabu mwingine.
Yaan kuna mijanaume huwa inajiona miungu watu kutwa kukosoa wanawake khaaa. Na wakati yenyewe huko yameshatumika mpk basi,kiasi kwamba km ingekuwa ukikitumia kinaisha, wengi wenu humu mnaopondea wanawake wala msingekuwa navyo.
Mbona ht nyie mna mapungufu makubwa tu lkn tunawavumilia.
Na huyo msichana atakuwa mpole, ila ningekuwa ndio mm ht nisingehangaika na wewe.