Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

jiulize pia ni halali kututoa bikra kabla hamjatuoa,pia no halali kutulala siye tulikwisha tolewa bikra.coz ninachokiona hapo unathaminisha.....bas kama unayemvulia nguo akaona uume wako je ni halali kumfanyia ivo be4 marriage?
 
ushamchoka binti wa watu..... mahari na bikra ni vitu 2 tofauti kabisa......wewe endelea kula mzigo tuu.....bikira zipo china these day....
 
jiulize pia ni halali kututoa bikra kabla hamjatuoa,pia no halali kutulala siye tulikwisha tolewa bikra.coz ninachokiona hapo unathaminisha.....bas kama unayemvulia nguo akaona uume wako je ni halali kumfanyia ivo be4 marriage?
mahari ni zawadi ya kumtunza binti, sasa binti hajatunzwa unatoa mahari ya nini.
 
Inaonesha pia hata maana ya mahari hujui,

Endelea kuitafuta bikra ili ukatoe ml.10.
madam sijasema natafuta bikra nimesema silipi kwa asiye bikra ajijie tu tuishi kwenye riadha mshindi ndio anapewa taji. huwezi mpa taji mtu asiye shinda silipii kwa asiye bikra yupo tayari kuchangia nusu ila haitoshi nataka atoe yote mie nitahusika kwenye harusi.
 
Daah..hata huyo unaemuoa atapata shida..ajue kwamba hana mume..si kwa dharau hizo..kumuita mwenzio screpa
 
Hamna haja ya kutoa mahali bro maana hta kama co bkira ipo cku atarud kwenye poli lake 2 so akikutolea mwenywe hapo shwarii
 
Kwa kweli siafiki kabisa mahari kwa mtu asiye bikra, unalipa vipi kitu ambacho hakina ubora wake.

Dhana ya mahari kwa zama za kale ilikuwa na maana kubwa sana na haviendani na kile kinachofanywa kwa sasa.
 
labda mim mshamba au sjui ni hulka ila mpaka umri huu sjajua umuhimu wa bikra when it comes to sex naona kama nakua mwalimu wa darasa la kwanza naanza kufundisha a e i o u...
 
Najua thamani ya bikira, lakini kwa nini inaonekana kudaiwa sana kwa Mwanamke peke yake? Ndio maana linaitwa tendo la ndoa, nje ya hapo ni kosa sio kwa Mwanamke wala mwanaume.

Nikirudi kwenye hoja yako, hauna haja hata ya kuoa huyo mchumba wako, utamnyanyasa sana.
Ungekua ni mtu wa msimamo kiasi hicho, ungekua bikira na ungetafuta bikira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…