Ni halali kutuma pesa za matumizi kwa mama wakati mke wangu yupo kwake?

Shida sio kwenda kwao, shida ni sababu ya kwenda kwao it's petty.
Ukiangalia a bigger picture akimkubalia saa hii anafungulia mlango wa tabia mbovu kwa vitu vidogo na kususasusa.
Akaze tu, akili ikimkaa sawa amruhusu aende kwao muda asio tarajia ila tayari atakua ashajua ana mume wa aina gani
 
Hata sio kuna namna, huyo mwanamke ni mchoyo
 
Soma kuelewa, na mke anamtumia fungu lake la mambo binafsi so anunue chips humo
 
Kumpereka kwenu ni jambo sahihi kabisa kwani umemuoa wewe lzm akakae nyumbani kwenu kama bado kuna mambo ya msingi
Fedha za matumizi yake na mtoto mtumie yeye, mama mzazi mtumie kama mzazi wako
 
Tuma ela kwa mkeo
Mkeo awez kudai mahitaji kwa mama yako ila mkeo anawez kutoa mahitaji na akawa huru
 
Kumpereka kwenu ni jambo sahihi kabisa kwani umemuoa wewe lzm akakae nyumbani kwenu kama bado kuna mambo ya msingi
Fedha za matumizi yake na mtoto mtumie yeye, mama mzazi mtumie kama mzazi wako
Mke anakomaa na matumizi ya familia atumiwe yeye 😄 🤣 😂 😆 😄 as if huo ni mji wake.
 
Imagine eti anatishia kurudi kwao.... arudi na akatoe maelezo kwao kilichomshinda ukweni ni nini.

Mtu uwaze kujipata ili maisha yarudi kwenye mstari na hapo hapo uwaze kusolve mambo ya kijinga

Mwanamke Kwanza lazima atambue mpaka anapelekwa Ukweni ajue Hali siô nzuri ya Mumewe. Mama Mkewe hapo ametoa msaada na hifadhi Kwa kipindi ambacho kijana wake bado mambo hayajamuendea Vizuri.

Mama atumiwe Asilimia 70% ya Pesa hizô ñyiñgine apewe Mkewe Kwa matumizi Yake binafsi

Kuhusu Pesa ya kujifungulia na uzazi kijana aweke akiba yake binafsi asimtumie Mke Wala Mama yake.

Mke kumtumia Pesa ya chàkula NI kumfanya awe mtawala WA Nyumba ya Mamaake.

Huyo Binti kama hajaridhika na huo utaratibu na maonî yake ni kwenda Kwao aende Kwao Wala siô Jambo baya. Ila maamuzi yake atayasimamia yeye mwenyewe akiwa Huko
 
Wewe ndio muamuzi ila muelewane tu
 
Wanawake wawili hawawezi kuishi pamoja
Hilo suala la kumtumia mama yake hela ndiyo afanye matumizi ya hapo nyumbani. Hayupo mwanamke atakayekubali hata huyo mama angekuwa anafanyiwa na baba yake na jamaa asingekubali.
Sio wanawake wote... mkewe tu ni mjinga mjinga, binafsi for as long natumiwa za mambo yangu binafsi basi mwenye mji afanye anachoweza.

Mazingira yakiwa sio rafiki kwa hali yangu ndo ntaomba niende kwetu
 
Mkuu,hapa kinachoongelewa,inaonekana mwanamke hajafurahia kutochukua majukumu kama mke. Hajajiona kama yupo ukweni. Wakiwa wote,wanajuana wao. Mwenye kuomba ushauri,ameonyesha kuwa mke wake hajafurahi kitendo cha kuamliwa na mamkwe.
 
Hapo ni kwake???? Akilijua hilo akili itamkaa sawa
 
Tuma ela kwa mkeo
Mkeo awez kudai mahitaji kwa mama yako ila mkeo anawez kutoa mahitaji na akawa huru
Ila mama ndo aombe hela ya mahitaji kwa mkwewe..... like seriously? Upo nyumbani kwangu halafu unipangie standards zako? Aache utoto huyo mke, asubiri ujipate arudi kwenye mji wake ajipangie anavyoweza
 
Mke anakomaa na matumizi ya familia atumiwe yeye 😄 🤣 😂 😆 😄 as if huo ni mji wake.
We kidudu mtu , huyu kajifungua atahitaji nepi, sabuni, mafuta nk hayo lazima atumiwe yeye umtumie kwe aanze kuomba mama nimemaliza sabuni aisee . Fedha zingine kwa ajiri ya mama yake amtumie mama yake hapo yuko ukweni jambo la kula ni juu ya mkwe acha zako wewe mrembo
 
Duh! Kazi kweli kweli. Mtu mzima ovyo. We mkamwana akija kwako,ndo awe anatoa pesa ya kuhemea na kuamua unakula nini siku hiyo? Mbona majanga!!!
Rudia kusoma kisa cha mleta mada. Mkewe yupo kwa mama yake na mmewe. Kapewa hifadhi tuuuu,iweje aanze na kuleta utaratibu wa maisha hapo? Mwanamke mwenye akili na busara,ndo angekuwa anamtoa na mamkwe wake sasa chochote
 
Tuma ela kwa mkeo
Mkeo awez kudai mahitaji kwa mama yako ila mkeo anawez kutoa mahitaji na akawa huru
Ila mama ndo aombe hela ya mahitaji kwa mkwewe..... like seriously? Upo nyumbani kwangu halafu unipangie standards zako? Aache utoto huyo mke, asubiri ujipate arudi kwenye mji wake ajipangie anavyoweza
 
Ila mama ndo aombe hela ya mahitaji kwa mkwewe..... like seriously? Upo nyumbani kwangu halafu unipangie standards zako? Aache utoto huyo mke, asubiri ujipate arudi kwenye mji wake ajipangie anavyoweza
Hafu umefunga pm 🤣 nilitamani nikulime jembe
 
Tatizo huna akili... kasome kichwa cha mtoa mada then soma na alichoandika ukiona hujaelewa na hapo sina cha kukusaidia
 
Duh! Kazi kweli kweli. Mtu mzima ovyo. We mkamwana akija kwako,ndo awe anatoa pesa ya kuhemea na kuamua unakula nini siku hiyo? Mbona majanga!!!
Rudia kusoma kisa cha mleta mada. Mkewe yupo kwa mama yake na mmewe. Kapewa hifadhi tuuuu,iweje aanze na kuleta utaratibu wa maisha hapo? Mwanamke mwenye akili na busara,ndo angekuwa anamtoa na mamkwe wake sasa chochote
 
Tatizo huna akili... kasome kichwa cha mtoa mada then soma na alichoandika ukiona hujaelewa na hapo sina cha kukusaiunatoa

Tatizo huna akili... kasome kichwa cha mtoa mada then soma na alichoandika ukiona hujaelewa na hapo sina cha kukusaidia
Wewe hebu achana na uharo wako njoo na hoja
Kama uko menopause hasira zako hazina faida yeyote kwangu na sihitaji msaada wako
Unaweza nipa msaada gani wewe
Jiheshimu kunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…