Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Shida sio kwenda kwao, shida ni sababu ya kwenda kwao it's petty.Ungempeleka kwao maana hata kama kuna njaa huko anajua kwao
Ila umebugi sana kumpeleka kwenu
Ila kama bado unajiandaa itabidi umruhusu aende kwao
Huko utakuwa na piece of mind
Utamtumia yeye na huku ukimtumia mama yako
Mama ni Mama tu na ana nafasi kubwa
Usiwachonganishe
Ukiangalia a bigger picture akimkubalia saa hii anafungulia mlango wa tabia mbovu kwa vitu vidogo na kususasusa.
Akaze tu, akili ikimkaa sawa amruhusu aende kwao muda asio tarajia ila tayari atakua ashajua ana mume wa aina gani