Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tumeanza nini tena!!?Mmeanza
Wakikujibu, nujulishe mkuu, hapo kisu kimegonga mfupa,Hivi wale askari wa kmkm mafunzo yao wanapata bara au Zanzibar, vipi mtanganyika anaweza kujiunga na hilo jeshi..?
Zanzibar ni Zanzibar ila Tanganyika ni Tanzania bara. KWA NINI??Hii ndio hoja ya msingi ya serikali tatu, rais wa muungano na wa Zanzibar wote ni wazanzibari, nani anatetea maslahi ya Bara ndani ya Muungano? Bara inaporwa tu hakuna wa kuitetea, waliopigania Uhuru wa Tanganyika wanadhihakiwa mno
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tang
Karibu mtanganyika mwenzangu.Naunga mkono hii kitu
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Tanzania ni matokeo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kama Zanzibar ipo ni kwa nini Tanganyika isiwepo.Ni halali kwa sababu hatuna utabganyika wala tanganyika, tuna tanzania!
Kwanini ni uchochezi??Uchochezi
Posta ni mambo ya muungano. Tukianza kutenga nafasi za kazi kwa misingi hiyo...Juzi shirika la POSTA limetangaza kutenga Asilimia 25 ya AJIRA zake Kwa wazanzibar labda ndio wakati watu wenyewe hawazidi Asilimia moja ya watanzania wote
Kwanini wapewe Asilimia 25Posta ni mambo ya muungano. Tukianza kutenga nafasi za kazi kwa misingi hiyo...