ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Watu kama hawa ni WA kupuuza tuHakuna kiongozi aliweka mkataba hadharani, msimsumbuwe mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kama hawa ni WA kupuuza tuHakuna kiongozi aliweka mkataba hadharani, msimsumbuwe mama.
Hata makubaliano kati ya Barrick na serikali anayajua mwendazake kaburini na Propesa jalala Kabudi..JPM yupi aliweka mkataba wazi? Nitajie mkataba mmoja tu uliowekwa wazi na serikali yake?? Sheria tu za madini zilitungwa usiku usiku kwa hati ya dharura ndio eti alikua muwazi.
JPM alijitoa OGI, Alipinga sheria ya TEITI iliyotaka mikataba iwe wazi alafu mnakuja kumlaumu Mama Samia?
Kila mtu anakumbuka JPM aliupiga chini ule mkataba mwingine wa Bagamoyo sababu ya masharti/ vigezo / mkataba usio na maslahi kwa Taifa.Mkuu una akili timamu? Kama hakukomaa kuhusu uwazi sekta ya madini hiyo Twiga minerals ingekuwepo?
Ukibishana na chawa tena hawa buggs jr hawa utapoteza muda. They are brainwashed brainless kwa medulla oblangata zao. They have no sense of empathy wala rational thinking [emoji189]
watasema unaleta udiniHuwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge.
Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana kuna janja ya kutaka kurejesha usulutani wa Oman kuja kutuibia sisi watanzania weusi.
Kwa nini isainiwe bila ufafanuzi wa kina namna tutavyonuofaika?
Harufu mbaya inayotia mashaka inafoka.
Acha uongo huo mkataba wa kampuni Tanzu ya Barrick na Serikali ya Tanzania umeuona?? Sheria zilifanyiwa mabadiliko kwa hati ya dharura alafu unadai kulikua na uwazi?? Maneno ya kabudi ndio mkataba wa kiutendaji?Tujifunze kanuni za mitandao ukimuuliza mtu swali una-quote. Usipofanya hivyo unawauliza wote waliotangulia. Ni kama kupiga kelele mtaani.
Kulikuwana tume ya Madini Chini ya Pro Kabudi wakiongea na Wakurugenzi wa Barrick Gold, kila week tulijulishwa wamefikia wapi kwenye mazungumzo yao.
50/50 kwenye economic benefits, 16% share, sit in the top table, na kuzisaidia jamii zinazozunguka migodi kama kujenga shule, hospitali, barabara, maji safi kutoa ajira.
Pia Kwa Watanzania watakaokuwa kwenye Bodi watajua kila kitu kinachoendelea. Wasome wenyewe.
Hiyo ndio ingetakiwa kuwa blueprint, mfano wa mikataba mingine yote. Kabudi anaijua kazi, sasa huvi hana kazi angeweza kutumika na timu yake kwa faida ya Taifa.
![]()
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Barrick has settled the majority of the North Mara legacy land claims and has paid the first tranche of the $300 million settlement it agreed with the Tanzanian government to resolve the disputes it inherited from Acacia Mining.www.barrick.com
Acha uongo huo mkataba wa kampuni Tanzu ya Barrick na Serikali ya Tanzania umeuona?? Sheria zilifanyiwa mabadiliko kwa hati ya dharura alafu unadai kulikua na uwazi?? Maneno ya kabudi ndio mkataba wa kiutendaji?
Mfano walisema 50-50 economic benefits, sasa hiyo definition ya economic benefits unaujua according to mkataba?
JPM Yale Yale tu kuanza kumlaumu mama kumuonea tu
Kwani ni kiongoz yupi aliweka mikataba wazi?? Iweje mdai uwazi sasa na sio jana au juz?Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge.
Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana kuna janja ya kutaka kurejesha usulutani wa Oman kuja kutuibia sisi watanzania weusi.
Kwa nini isainiwe bila ufafanuzi wa kina namna tutavyonuofaika?
Harufu mbaya inayotia mashaka inafoka.
Hakuna kiongozi aliweka mkataba hadharani, msimsumbuwe mama.
Mkuu hutendi haki ukianza kuhama kwenye hoja, nimeuliza mkataba kati ya Barrick na Serikali ikiwekwa wazi??Hakuna anayemlaumu mtu, ayesema uongo, kila kitu kiko wazi.
Ukiamua kuona utaona, una chuki kubwa sana huwezi kuona manufaa yoyote ya awamu iliyopita. Kwa sasa Mbowe na Zitto ni sehemu ya serikali, kazi yako kubwa ni kama yao kukandia awamu iliyopita kwa kila kitu. Kusifia kila kitu sasa hivi hata kama hakina maslahi ya Taifa.
mama anaupiga mwingi na atatuuza woteHuwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge.
Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana kuna janja ya kutaka kurejesha usulutani wa Oman kuja kutuibia sisi watanzania weusi.
Kwa nini isainiwe bila ufafanuzi wa kina namna tutavyonuofaika?
Harufu mbaya inayotia mashaka inafoka.
Issue ni kupunjwa sio uwazi!! kama ni uwazi je hiyo Twiga minerals je mikataba Iko wazi?? Ammendements ya sheria za madini kma gesi na mafuta, permanent sovereignty n.k ilikua Siri sasa unadhani Kuna UWAZI Gani hapo?Mkuu una akili timamu? Kama hakukomaa kuhusu uwazi sekta ya madini hiyo Twiga minerals ingekuwepo?
Chakushangaza, ni ulivyojua hata hayo mapunjo, Umejua mpaka "Ammendments"??...na kama ilikua siri ina maana sasa sio siri tena....Huo ni uwazi.Issue ni kupunjwa sio uwazi!! kama ni uwazi je hiyo Twiga minerals je mikataba Iko wazi?? Ammendements ya sheria za madini kma gesi na mafuta, permanent sovereignty n.k ilikua Siri sasa unadhani Kuna UWAZI Gani hapo?