Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.
Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri!
Kenya kwenye burudani kama mpira na muziki hawafanyi vizuri ,kidogo labda kwenye riadha.
Hapa kwetu watu wakilala, wakiamka ni Simba na Yanga ndio mijadala! Wakienda mbali wanajadili pisi kali au habari za Diamond, Harmonize, Mwijaku, Baba Levo , Shishi Baby n.k
Na kama jana Yanga kapiga mtu bao 6 kwa mtungi na muda huu tunajiandaa kwenda kwenye mtanange wa Simba na Al Ahali Tripoli ya Libya, habari ya Maandamano ya CHADEMA yanasikika kwa mbaaaaaali kama siyo hapa Tanzania.
Nchi hii imezindikwa vizuri sana ,wengi wa Wananchi wake hawana tofauti na Nyumbu.
Nyumbu hata wawe elfu moja pamoja ,Simba anakamata mmoja wao anamtafuna mbele yao wala hawajali na hawana muda!
Rais Samia naomba uongeze dau katika Kila goli angalau iwe milioni 10, kwani promo unalopata ni kubwa sana kulinganisha na kiasi unachotoa.
Just imagine toka jana usiku karibia Watanzania milioni 40 wanakujadili wewe tu kwa shilingi milioni 30 ulizotoa kwa goli 6 za Yanga.Hapana Rais Samia ongeza hela!
CHADEMA maandamano yetu katika Nchi kama hii ni magumu sana kufanikiwa kwa kiwango mnachotarajia, Nchi imejaa Nyumbu wengi sana!
Polisi wangekuwa na maarifa Wala wasingepambana na nyie bali wangewapa ulinzi mkafikisha ujumbe wenu!
Bado dk 162 mechi ya Simba na Waarabu inaanza!