Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

Mzee Mbowe na genge lakr ndio alivyowaaminisha machadema aisee
Mtawaponza maaskari wenu wachomwe moto kama watekaji ninyi wapumbavu. Nchi nzima Sasa hivi watu hawako tayari kuchukuliwa na maaskari bila mashahidi kushuhudia na kujiridhisha.
 
Mmlilishwa tango pori na mzee mbowe na mkalibeba hivyo hiyo eti Mafwele
Mzee Mbowe ndiye alitekwa kupelekwa Oysterbay Kisha kupigwa Risasi polini Katavi na kutupwa huko au sio!? Na ndiye aliyemtambua mmoja wa askari aliyehusika au sio!? Kweli wewe umekatikiwa na kipande cha dhakari huko nyuma.
 
Unaokota wasio wachaga mzee ,leo hii myika ambae sio mchagga amekuwa katibu mkuu boya maana John Mrema ndio kila kitu Mangi ,kushoto anapambana Lema ,huku Mzee Mbowe ameshika usukuni .
Wewe una shida na wachaga!?
 
Hivi unafikiri kama sio wachagga hii saccos ingekuwepo?tena hawa wachagga feki wa machame
Wewe una shida na wachaga!? Hiyo unayoiita "saccos" kwa nini ipo na serikali ya ccm isiyopenda upinzani inaiangalia!? Kama vipi ongea na yule Chura kiziwi akuzawadie usajili wa vyama vya siasa ili uifutilie mbali hiyo saccos.
 
Ni swala ka muda tu hii SACCOS itafutiliwa mbali ,bado haijaingia vizuri kwenye kumi na nane za watoa maamuzi ,hamtakaa muamini kitakachoikuta aisee.Mzee mbowe alikuwa walau anaoustarabu kidogo ila anaomelekea hakuna namna hii SACCOS itafutwa tu
 
Fanyeni haraka kuifuta ninyi wapumbavu wa ccm
 
Umewaponda watu kujadili Simba na Yanga, lakini na wewe pia umetumia mistari mingi kuzijadili hizo timu.
 
Hapa ndio mnapofeli mnafundishwa maneno ya kipuuzi na yule mmchame anaishi Arusha ndio mnashinda nayo huku mitandaoni.
Kwani hakuna watu wapumbavu. Kama yule muuaji anayekula Kodi za wananchi kule Arusha. Daudi Albert Bashite. Muhalifu aliyetakiwa kuwa gerezani maisha au akisubiri kitanzi.
 
Nawewe ndio walewale, umewataja yanga kishabiki hapo juu.
 
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.

Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri!

Kenya kwenye burudani kama mpira na muziki hawafanyi vizuri ,kidogo labda kwenye riadha.

Hapa kwetu watu wakilala, wakiamka ni Simba na Yanga ndio mijadala! Wakienda mbali wanajadili pisi kali au habari za Diamond, Harmonize, Mwijaku, Baba Levo , Shishi Baby n.k

Na kama jana Yanga kapiga mtu bao 6 kwa mtungi na muda huu tunajiandaa kwenda kwenye mtanange wa Simba na Al Ahali Tripoli ya Libya, habari ya Maandamano ya CHADEMA yanasikika kwa mbaaaaaali kama siyo hapa Tanzania.

Nchi hii imezindikwa vizuri sana ,wengi wa Wananchi wake hawana tofauti na Nyumbu.
Nyumbu hata wawe elfu moja pamoja ,Simba anakamata mmoja wao anamtafuna mbele yao wala hawajali na hawana muda!

Rais Samia naomba uongeze dau katika Kila goli angalau iwe milioni 10, kwani promo unalopata ni kubwa sana kulinganisha na kiasi unachotoa.

Just imagine toka jana usiku karibia Watanzania milioni 40 wanakujadili wewe tu kwa shilingi milioni 30 ulizotoa kwa goli 6 za Yanga.Hapana Rais Samia ongeza hela!

CHADEMA maandamano yetu katika Nchi kama hii ni magumu sana kufanikiwa kwa kiwango mnachotarajia, Nchi imejaa Nyumbu wengi sana!

Polisi wangekuwa na maarifa Wala wasingepambana na nyie bali wangewapa ulinzi mkafikisha ujumbe wenu!

Bado dk 162 mechi ya Simba na Waarabu inaanza!
Kama huna kazi na umeingia katika siasa inawezekana ukaacha ushabiki wa soka ili upate ubunge. Lakin hiz siasa ambazo chama kinamtukana Lowasa weee halafu Lowasa ndio anakua mgombea urais wa chama?Au hiz siasa za kumshabikia Sugu Mbeya mwisho anakuonyesha hotel ya gharama aliyojenga. Hizi siasa za kumshabikia wabunge wa CDM ili wakiwa wabunge Mbowe awakate shs million moja kila mwezi na kuendelea na biashara zake? Aidha, hao vijana ambao waliuliwa huko Kenya, family zao zilipata nn? Acha ujinga ndugu. Tafuta Kaz, tuache na raha zetu za soka.
 
Kwani hakuna watu wapumbavu. Kama yule muuaji anayekula Kodi za wananchi kule Arusha. Daudi Albert Bashite. Muhalifu aliyetakiwa kuwa gerezani maisha au akisubiri kitanzi.
Watu wapumbavu wapo wengi tu kama Lema na mzee Mbowe pamoja na misukule yake ,hata wewe lugha unayotumia tu inaonyesha ni jinsi gani ulivyo. Kama unaitwa baba fulani aisee ni balaaa kubwa
 
Kama huna kazi na umeingia katika siasa inawezekana ukaacha ushabiki wa soka ili upate ubunge. Lakin hiz siasa ambazo chama kinamtukana Lowasa weee halafu Lowasa ndio anakua mgombea urais wa chama?Au hiz siasa za kumshabikia Sugu Mbeya mwisho anakuonyesha hotel ya gharama aliyojenga. Hizi siasa za kumshabikia wabunge wa CDM ili wakiwa wabunge Mbowe awakate shs million moja kila mwezi na kuendelea na biashara zake? Aidha, hao vijana ambao waliuliwa huko Kenya, family zao zilipata nn? Acha ujinga ndugu. Tafuta Kaz, tuache na raha zetu za soka.
Misukule ya mzee mbowe haiwezi kukuelewa hata kidogo mkuu
 
Aisee! Rais anaonewa wivu!? Hii ndio comment ya kijinga kabisa kuwahi kuiona hapa JF.
Wajinga ni nyinyi mnaopanga kuandamana kesho. Bodaboda wamewasusia maandamano yenu, wamegundua kuwa wanaweza kuvunjwa miguu kwa virungu vya polisi wakati mabilioni ya pesa anachukua Mbowe na Lema!.
 
Hivi Mzee Ali Kibao alikuwa Mchaga!?
CHADEMA mngekuwa na hoja iwapo Samia angekuwa hajulikani anafanya nini. Tembea sasa hivi nchi nzima uone namna kazi za maana zinavyofanyika.

Mwenye akili timamu anafahamu fika kitu gani anachokifanya Samia na serikali nzima, hivyo uzito wa hoja zenu unapungua kwa sababu yapo mengi ya maana yanayoendelea muda huu.
 
Back
Top Bottom