Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwani mpaka sasa umeshindwa nini kuwekeza?TungewekEZA KWENYE KAZI NA TIJA HIVI….. Tanzania ingekua tajiri sana
Siasa ni domodomo tu
Mwenye akili timamu hawezi kuvumilia utekaji na mauaji ya binadamu wenzake. Huyo ni mwehu na wewe ni mmoja wapo.CHADEMA mngekuwa na hoja iwapo Samia angekuwa hajulikani anafanya nini. Tembea sasa hivi nchi nzima uone namna kazi za maana zinavyofanyika.
Mwenye akili timamu anafahamu fika kitu gani anachokifanya Samia na serikali nzima, hivyo uzito wa hoja zenu unapungua kwa sababu yapo mengi ya maana yanayoendelea muda huu.
Wewe ni mpumbavu mmoja wa wale wanaojiita "chawa wa mama"Mimi mzalendo ninayejielewa sio mjinga mjinga ninayeshikiwa akili na Mbowe.
Bodaboda hao bila shaka wewe ndio muwakilishi wao Hata mashoga nao wewe ndio muwakilishi wao, vipi mtaandamana pia, au nanyi mmesusa!?. Kama mnawapenda sana watibuni bure pale MOI badala ya kukimbilia kuwakata miguu. Wapumbavu nyie.Wajinga ni nyinyi mnaopanga kuandamana kesho. Bodaboda wamewasusia maandamano yenu, wamegundua kuwa wanaweza kuvunjwa miguu kwa virungu vya polisi wakati mabilioni ya pesa anachukua Mbowe na Lema!.
Wewe Baki kwako ugongane na mumeo.Watu waishi kwa uchungu kisa wao wanapanga maandamano, ni wapumbavu sana hawa watu!.
Watu wasifurahie ushindi wa Yanga jana na wa Simba leo jioni kisa wao wanataka kuandamana kwa sababu hawaridhishwi na awamu ya Samia, watu wasifurahie kisa wao wana hasira zao!.
Madereva wa bodaboda wamewasusia maandamano yao, wamegundua ni upunguani wao unawasumbua.
Wewe andamana nyuma ya keyboard hapo sebuleni kwako, huko mtaani humpati mtu.Wewe Baki kwako ugongane na mumeo.
Ujinga wa kuwageuza watu mitaji ya maandamano umewachosha vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.Bodaboda hao bila shaka wewe ndio muwakilishi wao Hata mashoga nao wewe ndio muwakilishi wao, vipi mtaandamana pia, au nanyi mmesusa!?. Kama mnawapenda sana watibuni bure pale MOI badala ya kukimbilia kuwakata miguu. Wapumbavu nyie.
Biashara za utekaji na mauaji hazitokei kila siku, kumbuka juu ya hilo. Hivyo shida za wengine haziwezi milele kuwa ndio mtaji wa nyinyi kulipwa mapesa mengi na wazungu.Mwenye akili timamu hawezi kuvumilia utekaji na mauaji ya binadamu wenzake. Huyo ni mwehu na wewe ni mmoja wapo.
Chawa wa Mbowe safari hii hamumpati mtu huko kwenye upuuzi wa maandamano. Watu wanahangaika na fursa za kiuchumi wamechoka kugeuzwa mitaji ya nyinyi waviziaji wa fursa za pesa za wafadhili wa Ulaya.Wewe ni mpumbavu mmoja wa wale wanaojiita "chawa wa mama"
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.
Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri!
Kenya kwenye burudani kama mpira na muziki hawafanyi vizuri ,kidogo labda kwenye riadha.
Hapa kwetu watu wakilala, wakiamka ni Simba na Yanga ndio mijadala! Wakienda mbali wanajadili pisi kali au habari za Diamond, Harmonize, Mwijaku, Baba Levo , Shishi Baby n.k
Na kama jana Yanga kapiga mtu bao 6 kwa mtungi na muda huu tunajiandaa kwenda kwenye mtanange wa Simba na Al Ahali Tripoli ya Libya, habari ya Maandamano ya CHADEMA yanasikika kwa mbaaaaaali kama siyo hapa Tanzania.
Nchi hii imezindikwa vizuri sana ,wengi wa Wananchi wake hawana tofauti na Nyumbu.
Nyumbu hata wawe elfu moja pamoja ,Simba anakamata mmoja wao anamtafuna mbele yao wala hawajali na hawana muda!
Rais Samia naomba uongeze dau katika Kila goli angalau iwe milioni 10, kwani promo unalopata ni kubwa sana kulinganisha na kiasi unachotoa.
Just imagine toka jana usiku karibia Watanzania milioni 40 wanakujadili wewe tu kwa shilingi milioni 30 ulizotoa kwa goli 6 za Yanga.Hapana Rais Samia ongeza hela!
CHADEMA maandamano yetu katika Nchi kama hii ni magumu sana kufanikiwa kwa kiwango mnachotarajia, Nchi imejaa Nyumbu wengi sana!
Polisi wangekuwa na maarifa Wala wasingepambana na nyie bali wangewapa ulinzi mkafikisha ujumbe wenu!
Bado dk 162 mechi ya Simba na Waarabu inaanza!
Chawa wa Mbowe safari hii hamumpati mtu huko kwenye upuuzi wa maandamano. Watu wanahangaika na fursa za kiuchumi wamechoka kugeuzwa mitaji ya nyinyi waviziaji wa fursa za pesa za wafadhili wa Ulaya.
JPM aliwapiga stop kufanya mikutano nje ya majimbo ya uchaguzi yanayowahusu.
Alifahamu kwa kina kwamba demokrasia ni dili la pesa ndefu kwa Mbowe na wenzake.
Wajinga hao wanadhani milele yote wataishi kwa kutegemea uelewa mdogo wa jamii inayokuwa tayari kuandamana.Umeona eeh hawajiulizi kuhusu mamia ya waliokufa Kenya huku hakuna mambo yaliyobadirika
Umesahau kuweka namba ya simuWajinga hao wanadhani milele yote wataishi kwa kutegemea uelewa mdogo wa jamii inayokuwa tayari kuandamana.
Historia ya Kenya ni tofauti na ya Tanzania. Kenya walipata uhuru kwa vifo vingi hivyo roho za mauaji zipo kwenye anga la nchi yao siku zote.
Tanzania siku moja kabla ya uhuru tarehe 8 Desemba 1961 pale Saint Joseph hii nchi ilikabidhiwa chini ya ulinzi wa Mama Bikira Maria.
Hakutakuja kutokea upuuzi wa vurugu kubwa zenye kuleta vifo vya watu 1,000 au zaidi kama inavyotokea kwa jirani Kenya.
Yanatokea mauaji ya hapa na pale ambayo huwezi kuyaweka kwenye kundi moja na zile vurugu za majirani wa kaskazini yetu.
Ni kweli watanzania wengi tunaendekeza mambo mepesi kwa kushobokea anasa. Hao unaowakebehi kwa kuingiza ukabila ndio moja ya jamii zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kuliko makabila mengine na la kwenu likiwemo, maana mnachoweza wengine ni uchawa tu.Nyie wachagga na SAccos yenu acheni kabisa kuona watanzania wengine wasioshabikia hii saccos kuwa ni wajinga.Hivi hii Saccos inayoongozwa na waliofeli kidato cha nne kama mzee Mbowe na Lema mnao uhalali gani wakuona watanzania wengine ni wajinga ?
Wewe utakuwa2 wale form4 failure waliojiunga na kozi ya mimba ccpNyie wachagga na SAccos yenu acheni kabisa kuona watanzania wengine wasioshabikia hii saccos kuwa ni wajinga.Hivi hii Saccos inayoongozwa na waliofeli kidato cha nne kama mzee Mbowe na Lema mnao uhalali gani wakuona watanzania wengine ni wajinga ?
HujitambuiNyie wachagga na SAccos yenu acheni kabisa kuona watanzania wengine wasioshabikia hii saccos kuwa ni wajinga.Hivi hii Saccos inayoongozwa na waliofeli kidato cha nne kama mzee Mbowe na Lema mnao uhalali gani wakuona watanzania wengine ni wajinga ?
Acha upumbavu Mangi oko,nakubaliana na wewe hadi mwanzoni wa mika ya tisini hakuna mkoa uliokuwa mbali kamarndelea kama kilimanjaro .Leo hii mikao mingi tu umepiga hatua kiasi kwamba ile tofauti kubwa ya miaka hiyo haipo tena .Ni kweli watanzania wengi tunaendekeza mambo mepesi kwa kushobokea anasa. Hao unaowakebehi kwa kuingiza ukabila ndio moja ya jamii zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo kuliko makabila mengine na la kwenu likiwemo, maana mnachoweza wengine ni uchawa tu.
Wewe ni Tondo ulokubali kuwa msukule wa mzee MboweHujitambui
Pole sana Mangi okoWewe utakuwa2 wale form4 failure waliojiunga na kozi ya mimba ccp
Namba ya kwako wewe inatosha kabisa. Iweke.Umesahau kuweka namba ya simu