Kabisa ndugu ndiyo maana hatumuelewi raisi ajaye bwana Dennis Robert ShughuruWatu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuogea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
Hii ni kweli shetani nae yupo kazini, Mungu mwema tutashinda tuu!Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuogea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
Kwenye kuzitumia ndio kipengere za chooni zinaenda harusini,za harusini mahakamani,za familia Bungeni!Kila mtu ana akili tunatofautiana kwenye kuzitumia tu!
Kama Raisi kilaza unategemea nnWatu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuogea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
We zombie huna uwezo wa kutambua mwenye akili, eti Lissu ana akili? We ni zwazwa kwl. Lissu akili yake imeisidia nn nchi hii? Ubishi wa kipuuzi ni akili? Kukosa adabu, busara na hekima ni akili? Kuwa mzushi, mchochezi, mwongo, kibaraka la wazungu ni akili? We ni afadhali ya kengeWatu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuogea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
Lioneni hiki KibwengoLissu ni mmojawapo wa wenye akili nyingi hapa nchini
Aisee. Sijui nikupe zawadi gani kwa kusema ukweli huu. Kama hapa ndiyo umemaliza kabisa na inaweza kuwa quote ya mwaka:Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa ndoa", wengi ni vichwa kweli kweli. Kuishi na mjinga ambaye siyo nduguyo yataka moyo sana. Wenye akili wengi wanashindwa.
2. Kudumu kwenye siasa.
Fuatilia wanasiasa wengi wanaodumu kwenye siasa ni watu wa hovyo sana. Wanaua, wanaroga, wanatoa makafara, wanatoa rushwa, n.k.. Uonevu anaofanyiwa Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla ni matokeo ya tabaka la watawala (wanasiasa ) kuwa na wajinga wengi.
3. Kuendesha biashara kubwa.
Kwenye biashara kuna mambo ya hovyo sana, kiasi kwamba kwa mwenye akili timamu hawezi kuyafanya:- kuroga, kuua, kutoa kafara, kuikwepa Kodi, na kuunda magenge ya wezi na wizi.
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuogea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
Inauma sana,
Ukweli Lissu ana Akili hata ya shuleni,ukweli usemwe,asiyetaka, jamaa ana Akili!Lioneni hiki Kibwengo
Mpewe maua yenu pamoja na Mtoa mada,Yaani shida ni Moja wenye akili na Vilaza hukutana kwa Dr mmoja!Aisee. Sijui nikupe zawadi gani kwa kusema ukweli huu. Kama hapa ndiyo umemaliza kabisa na inaweza kuwa quote ya mwaka:
Ogopa sana nchi ambayo:-
1. Elimu inapopolewa bungeni na wabunge vilaza. Maprofesa wanajikunyata kwa uwoga KILAZA akisimama kuogea.
2. Watu maarufu ni makahaba wanaopotosha watoto wetu wa kike kuwa ukiwa na sura na tako basi unatoboa kimaisha.
3. Wasema hovyo ndiyo mabalozi wa brands za makampuni mbalimbali badala ya watu wasomi na mashujaa wa taifa.
we mshangazi vipi?Lioneni hiki Kibwengo
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.Sijui ni mimi peke yangu huwa nashangaa ninavyoona watu wakimsifia na kumshangilia Makonda huku wakitamani awe kiongozi mkubwa, wengine wanafikia hatua yakusema Makonda ni mtu wa Mungu...
Sasa mi huwa nashangaa ina maana yale makandokando yake kama kumpiga mzee Warioba na kuvamia Clouds fm na clip zipo.... sasa huwa najiuliza hao watu hawajaziona hizo clip au ni kwamba wanampenda tu.... Mara nyingine huwa nakaa mahali natafakari mpaka nachoka, ukichek mtandaoni unakuta 90% wanam-support mpaka unakata tamaa kabisa..
All in all nimegundua wabongo asilimia kubwa ni majitu majinga jinga sana yasiyojitambua hopeless kabisa...
Kusema kweli lissu ni miongoni mwa watanzania wenye akili na wanazitumia hata CV yake imenyooka kama rula.Ukweli Lissu ana Akili hata ya shuleni,ukweli usemwe,asiyetaka, jamaa ana Akili!