Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?

Hivi kumbe Watu wanafikia Hatua Hii.....Mi Nashauri endelea kumvumilia mwenzio Nyie ni zaidi ya Ndugu sasa!
 
Pole sana kwa changamoto ya Ndoa jishushe muombe Mungu akusaidie.
 
Bado kitambo kidogo, yote haya yatakwisha.
Kuachana sio suluhisho, bali kujishusha kwako na kuomba msamaha ili hali hujakosea .
Yaweza kuwa jambo jema zaidi na lenye manufaa zaidi kwa pande zote.

Dunia hii kila mtu analo Jaribu lake.
Ndoa zingine ni nzito, bora kufa kwa aibu tuu
 
Kama unaona unaweza kuhimili hizo heka heka vumilia.

Kama huwezi na unaona inakusababisha afya mbovu ya akili na mwili, achaneni.

Huenda huo ubavu ni wa mwingine, mlipumbazwa na matamanio tu.
 
Hadi hayo yote yanatokea kati yenu na unayavumilia hapo unakua umesimikwa kama nguzo ya umeme au umepandikiwa kama mwembe????

Kama haileti furaha basi haimeki sense[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNASALITIWA kwa sababu ya ujuaji na kiburi 50/50 ngangari ngangari hakuna mwanaume anaweza vumilia huo ujinga wenu wanawake wa kileo, na utasalitiwa sana na ndio mkome wanawake wa kileo
 
Wanawake hawa wa 50/50 wanawezaje kujishusha ?!
 
Bado kitambo kidogo, yote haya yatakwisha.
Kuachana sio suluhisho, bali kujishusha kwako na kuomba msamaha ili hali hujakosea .
Yaweza kuwa jambo jema zaidi na lenye manufaa zaidi kwa pande zote.

Dunia hii kila mtu analo Jaribu lake.
Umemueleza vzr, hakuna jaribu lisilo na suluhisho na pia hakuna marefu yasiyo na ncha,,,bora ajishushe yaishe waanze upya
sijaona kitu cha kumuondoa mtu hapo
 
Huu ndo upumbavu sitaki usikia!
Kwahiyo watt ndo wakufanye uishi kwa mateso?
Haya ukifa uwaache hao watt utakuwa umewasaidia nn?
Kwenye Ndoa, mwanamke anakuwa chini ya umiliki wa mwanaume. Ukishindwa kujishusha na kusamehe unakosa sifa ya kuwa Wife material.

Hivyo utaishia kuwa huru na kuishi maisha ya usingo mother tu. Wanaume wanapenda sana kuwa kwenye staili ile ya kimfumo dume. Wanawake wengi wanaotaka kuwa huru, ishu za usawa na kutovumilia upumbavu wa mwanaume - ndoa huwa zinawashinda.

Na ukiachika ukiwa tayari na watoto na thamani yako ya kupata mume mwingine huwa inapungua.
 
Umemueleza vzr, hakuna jaribu lisilo na suluhisho na pia hakuna marefu yasiyo na ncha,,,bora ajishushe yaishe waanze upya
sijaona kitu cha kumuondoa mtu hapo
Ushauri mzuri kabisa na suluhu lisilo na gharama yoyote na linaloweza kuboresha ndoa na kurejesha furaha na amani

lakini nionyeshe mwanamke wa kileo mwenye kijiajira ambaye yuko tayari kujishusha na mimi nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai.

Yani mpaka kalileta huku unapata picha alivyo mwanamke ngangari ngangari, kitaeleweka, jeuri ...., jeuri ....,
jeuri ...., jeuri ....,
jeuri ...., jeuri ....,
Ndiye mchawi wa kuvunja ndoa za wanawake wenye vijiajira
 
Bado kitambo kidogo, yote haya yatakwisha.
Kuachana sio suluhisho, bali kujishusha kwako na kuomba msamaha ili hali hujakosea .
Yaweza kuwa jambo jema zaidi na lenye manufaa zaidi kwa pande zote.

Dunia hii kila mtu analo Jaribu lake.
Mkuu hakuna mwanamke wa kujishusha hapo na ndio maana mpaka kalileta huku. Huyu ni style ile ya wanawake 50/50 yani hawa na wanawake wakishapata viajira hua hawataki kujishusha na ndio maana idadi ya masingldm mother inazidi kupaa juu kama bei ya cement.

Yani ni rahisi mbuzi kutaga mayai kuliko mwanamke mwenye kiajira kujishusha kwa mumewe.
 
Kufanya maombi maombi Yana nguvu Sana ktika maisha yetu
Ebu funga sali Sana kwa Imani ombea ndoa yako ombea familia yako muombee na mume/mkeo wakat mwingine najaribu yanakuja tukiskisa Imani zetu relax kma mwanamke rudisha utii kwa mumeo
Mtimizie anachohitaji muombee yaliyobaki muachie mungu atayajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…