Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.

watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.

Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.

Elimu: sote tuna masters

Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer

Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima

Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi

Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela

Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.

Kazi za nyumbani kwa watoto: tupo makini sana kuhakikisha wanaweza kujitunza wao na mazingira. house girl hahusiki kwenye kazi wanaozoweza.
 
Tayari nina mtoto niliye adopt akiwa na miaka minne ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.

watoto wetu tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.

Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo najaribu kuadopt mtoto wa nje
Kwanini unaadopt usizae wako? and why mwarabu? bila shaka hata jinsia yake ulopanga ni KE
 
Tafuta Sheria inaitwa The Child Act ya 2009. Anzia kifungi 14 kwenda mbele. Utapata tuisheni ya kutosha

(Usimpe Mtu samaki, mfundishe kuvua samaki)
 
Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?
 
Shi yanga k7na watoto wa kiarabu wengi wa familia masikini . Kwa nini uhitaji mwarabu wa nje wakati warabu wanaokuzungu TZ wana hali duni ?Au una lengo tofauti?
Swali, ndugu zako wote hawana hali mbaya ya maisha mpaka uanze kutafuta nje ?
Sisi watanzania wengi wetu tuna hali ngumu sasa iweje uwaruke masikini wengi waliojaa TZ ukasaidie warabu.
Zunguka mashuleni uone hali ya umadikini ya watanzania. Sikupangii ila unatakiwa utafakati sana sana.
 
Back
Top Bottom