Jee hao wtt wa kimaskini either waarab au waswahili wazee wao watakubali kuwatoa wakalelewe na watu wengine?Shi yanga k7na watoto wa kiarabu wengi wa familia masikini . Kwa nini uhitaji mwarabu wa nje wakati warabu wanaokuzungu TZ wana hali duni ?Au una lengo tofauti?
Swali, ndugu zako wote hawana hali mbaya ya maisha mpaka uanze kutafuta nje ?
Sisi watanzania wengi wetu tuna hali ngumu sasa iweje uwaruke masikini wengi waliojaa TZ ukasaidie warabu.
Zunguka mashuleni uone hali ya umadikini ya watanzania. Sikupangii ila unatakiwa utafakati sana sana.
Unakusudia kutoka nje ya Tanzania?Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.
watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.
Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.
Elimu: sote tuna masters
Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer
Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima
Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi
Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela
Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.
Kabisa ajaribu kwenda huko Gaza tunaona kwenye vyombo vya habari watoto wengi wanakufa kwa njaaUnakusudia kutoka nje ya Tanzania?
Ingekuwa Gaza kunaendeka ningekwambia ukaasili huko mana kule ndio wtt wengi wameachwa mayatima
Sina uhakika, nadhani ukifuata taratibu za serikali unaweza fanikiwa. Nenda tinde, ruhumbo, mpaka hahama warabu ni wengi utawapata tu.Jee hao wtt wa kimaskini either waarab au waswahili wazee wao watakubali kuwatoa wakalelewe na watu wengine?
Labda upate mtoto wa kiarabu koko na siyo wale waarabu na Quran yao maana hao bado huchukulia Waafrika ni watumwa wao.help
Kuna waarabu koko na waarabu.Sina uhakika, nadhani ukifuata taratibu za serikali unaweza fanikiwa. Nenda tinde, ruhumbo, mpaka hahama warabu ni wengi utawapata tu.
Kama wewe ni muislam ndio inaweza kuwa rahisi zaidi. Sehemu nyinyine unaweza kuwapata ni Tanga, kariakoo na Zenji.
Ukikosa kote huko nenda mombasa .
Ningekuwa nakujua nje ndani ningekuunganishia maana wapo jirani zangu warabu, wala isingekuwa shida ila siku hizi mambo mengi wengine huwageuza watoto watumwa wa ngono.
Atuambie aache kuasili huyo mtoto.
Hata kina m. salah, hakim nk ni warabu koko. Nadhan una shida na uelewa juu ya warabu. Wapo warab upongoj shinyanga weupe kuliko warab wa muskat au Oman. Hata Sudan, Algeria ni warabu ila hawana tofauti na watanga. Kwa kuwa unaishi nao hapa TZ unaona sio warabu ?Kuna waarabu koko na waarabu.
Waarabu wanaopatikana Kahama, Shinyanga na Mombasa hao ni waarabu koko hadi utumbo wa kuku wanakula
Hujakaa na warabu. Dhana hii huchochewa sana na watu ambao hawajaishi na warabu wa hapa TZ.Labda upate mtoto wa kiarabu koko na siyo wale waarabu na Quran yao maana hao bado huchukulia Waafrika ni watumwa wao.
Unaweza kunipa idadi ya watanzania waafrika walioa waarabu?
Mie sitaki kuasili mkuu. Nimeuliza tuSina uhakika, nadhani ukifuata taratibu za serikali unaweza fanikiwa. Nenda tinde, ruhumbo, mpaka hahama warabu ni wengi utawapata tu.
Kama wewe ni muislam ndio inaweza kuwa rahisi zaidi. Sehemu nyinyine unaweza kuwapata ni Tanga, kariakoo na Zenji.
Ukikosa kote huko nenda mombasa .
Ningekuwa nakujua nje ndani ningekuunganishia maana wapo jirani zangu warabu, wala isingekuwa shida ila siku hizi mambo mengi wengine huwageuza watoto watumwa wa ngono.
Hairuhusiwi. Ni kosa kisheriaIli aje awaozeshe hao ngozi nyeusi aliowapata na wife wake
NaaamAtuambie aache kuasili huyo mtoto.