Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

Hujakaa na warabu. Dhana hii huchochewa sana na watu ambao hawajaishi na warabu wa hapa TZ.

Ni hivi wewe kama sio muislam hata kwa mswahili huoi mkuu ach warabu.
Maza angu alimkatalia mkurya kuo dada angu, tena alishakuwa kamharibia shule.
Suala la kuoana ni tata, sio kila mahala utaoa hata wabantu kwa wabantu japo inapungua taratib, lakini bado kuna familia huendo kuoa kizembe kisa una mdudu ananing'inia.

Faza wangu mmoja alioa mwarabu aliekamilika pisi kali ila nae akaja akaporwa huyo mke na mswahili mwenzake, kwa hio sio kweli kuwa huwezi oa kwa mwarabu.

Africans Arabs are just swahili people and share culture with other swahili. Ukumbuke warabu walipo kuja mwanzoni mwa karne ya 7 hawakuja na wake zao hivyo walioa huku na kuacha masalia ya warabu.
Hata wale wa Morocco unaowajua ni warabu koko/ half cast.
Ni vizuri sana tufuatilie historia watanzania wengi uelewa ni mdogo japo wamesoma mpaka chuo, sijui kwa nini.
We haujatembea Uarabuni. Uarabuni hauruhusiwi hata kukaa na Mwanamke wa kiarabu wewe ukiwa ngozi nyeusi.
 
Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.

watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.

Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.

Elimu: sote tuna masters

Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer

Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima

Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi

Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela

Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.

Kazi za nyumbani kwa watoto: tupo makini sana kuhakikisha wanaweza kujitunza wao na mazingira. house girl hahusiki kwenye kazi wanaozoweza.
Unataka badae uje ule tunda kimasihara kabisa

Mkuu fikiria Tena tafadhali
 
Sasa umesha adapt mtoto mmoja, hapo tena unahitaji kujua processes gani? Au umemaanishaje unaposema tume adapt mtoto mmoja?

Pia, kama utaendelea na azma yako na wewe ni Mswahili kama Mie, hebu rudisha kwenye chanzo chako. Asili mtoto mweusi. Utakuwa umemvusha sana kuliko hao Waarabu ambao kihistoria they've been given upper hand na wanahusika na mengi mabaya katika jamii yetu.
 
Tafadhali soma hapa. Kwa msaada zaidi, wasiliana na afisa ustawi wa jamii wa eneo lako na simu pia nimekuwekea hapo. Chagua namba ya mkoa wako Tuma sms tafadhali atakujibu. Ukikwama huko, lete rufaa kwangu kwa sms nisikilize, namba yangu pia iko humo. Shukrani na ahsante sana kwa moyo wako na familia yako🙏
Asante sana Waziri Dkt. Gwajima, nitafuatilia

Inapendeza kuona namna mitandao inavyotuunganisha wananchi na viongozi wetu wazalendo mnaotumia Jamiiforums ya Tanzania
 
Tuseme ukoo wenu mmetosheka hakuna ndugu mwenye shida? Wabongo mnapenda sana sifa
Mkuu yeye anataka mto awe wa kwake. Akimchukua wa ndugu si atabaki kuwa wa hao ndugu
 
Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.

watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.

Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.

Elimu: sote tuna masters

Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer

Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima

Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi

Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela

Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.

Kazi za nyumbani kwa watoto: tupo makini sana kuhakikisha wanaweza kujitunza wao na mazingira. house girl hahusiki kwenye kazi wanaozoweza.
Wewe jamaa,,WAARABU wana hela balaa na wanashirikiana sa,,ata kama mmoja wao ni masikini wanambeba,,,,labda uende buza ukaasili waarabu wa huko!!!
 
Waarabu mnaowaona wana pesa ni wachache hasa familia za kifalme wamegeuza mafuta ya nchi kuwa ya ukoo, Wana pesa za kutumia hovyo lakini kuna waarabu wenzao wengi tu wanaishi maisha ya kimasikini.

Nenda Syria, Iraq, Lebanon, Egypt, n.k, ni masikini wengi tu.
 
Back
Top Bottom