Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Ndiyo, unaweza Kuasiliwa na sio UKIMWI bali madawaHivi kuasili mwisho umri gani??? Mumama wa 30s naweza kuasiliwa? Maana dah......
Ndiyo, unaweza Kuasiliwa na sio UKIMWI bali madawaHivi kuasili mwisho umri gani??? Mumama wa 30s naweza kuasiliwa? Maana dah......
Mtoto wa mtu ni wa mtu bwana!Naaam
Itakua haujui kiswahili aseeeNdiyo, unaweza Kuasiliwa na sio UKIMWI bali madawa
Aseeh na ni kweli,Mtoto wa mtu ni wa mtu bwana!
Mwaka gani huo 😅😅Aseeh na ni kweli,
Kuna mama alitaka niwe mwanae na mimi nna mama daah
2020Mwaka gani huo 😅😅
Huyo alitaka umpige miti wala si kukuasili aise.2020
Miti ndo nn ?Huyo alitaka umpige miti wala si kukuasili aise.
Kujamiiana.Miti ndo nn ?
Nitajamiiana vipi na mtu mzimaKujamiiana.
Ungemkubalia ungeona vile mtoto hujamiiana na mtu mzima.Nitajamiiana vipi na mtu mzima
Nikapate hechiaiviUngemkubalia ungeona vile mtoto hujamiiana na mtu mzima.
Huwajui waarabu. Hao waarabu waliokuja kuoa huku Afrika, watoto waliozaliwa ni waarabu koko.Hujakaa na warabu. Dhana hii huchochewa sana na watu ambao hawajaishi na warabu wa hapa TZ.
Ni hivi wewe kama sio muislam hata kwa mswahili huoi mkuu ach warabu.
Maza angu alimkatalia mkurya kuo dada angu, tena alishakuwa kamharibia shule.
Suala la kuoana ni tata, sio kila mahala utaoa hata wabantu kwa wabantu japo inapungua taratib, lakini bado kuna familia huendo kuoa kizembe kisa una mdudu ananing'inia.
Faza wangu mmoja alioa mwarabu aliekamilika pisi kali ila nae akaja akaporwa huyo mke na mswahili mwenzake, kwa hio sio kweli kuwa huwezi oa kwa mwarabu.
Africans Arabs are just swahili people and share culture with other swahili. Ukumbuke warabu walipo kuja mwanzoni mwa karne ya 7 hawakuja na wake zao hivyo walioa huku na kuacha masalia ya warabu.
Hata wale wa Morocco unaowajua ni warabu koko/ half cast.
Ni vizuri sana tufuatilie historia watanzania wengi uelewa ni mdogo japo wamesoma mpaka chuo, sijui kwa nini.
Ninalijua hilo ila nimefanya makusudiItakua haujui kiswahili aseee
Mbona kuasili na kuathiri ni maneno mawili tofauti kabisa,
(Kuasiliwa/kuathiriwa) kajifunze tena 👋
Basi ni kusudi iliyokosa maana, poleNinalijua hilo ila nimefanya makusudi
Kutokujua maana ya kusudio ni juu ya aliyeshindwa kutambuaBasi ni kusudi iliyokosa maana, pole
Kiasili na kuathiri ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.....take it, kwaheri 👋Kutokujua maana ya kusudio ni juu ya aliyeshindwa kutambua