Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
You better disappearKiasili na kuathiri ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.....take it, kwaheri 👋

Duh tunaabudu mno uarabuTayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.
watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.
Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.
Elimu: sote tuna masters
Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer
Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima
Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi
Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela
Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.
Kazi za nyumbani kwa watoto: tupo makini sana kuhakikisha wanaweza kujitunza wao na mazingira. house girl hahusiki kwenye kazi wanaozoweza.
Msaidie mwenzio anataka ku asili mtoto wa kiarabuRhabhekhaaaaaa.
Salaam, ahsante kwa swali zuri. Nimekupatia mwongozo tayari, soma nimekuTagTayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.
watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.
Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.
Elimu: sote tuna masters
Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer
Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima
Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi
Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela
Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.
Kazi za nyumbani kwa watoto: tupo makini sana kuhakikisha wanaweza kujitunza wao na mazingira. house girl hahusiki kwenye kazi wanaozoweza.
Kuitwa Omary, Abdul au Mohamed usifikiri waarabu ni ndugu zako. Hawa walioko huku ni waarabu koko, waarabu ni weupe unafikiri ni weusi?Hata kina m. salah, hakim nk ni warabu koko. Nadhan una shida na uelewa juu ya warabu. Wapo warab upongoj shinyanga weupe kuliko warab wa muskat au Oman. Hata Sudan, Algeria ni warabu ila hawana tofauti na watanga. Kwa kuwa unaishi nao hapa TZ unaona sio warabu ?
Warabu waliopo Afrika ndio waliopo Saudia, Qatar nk.
Ni sawa na kusema waafrika wa Afrika ndio waafrika ila waaafrika wa jamaica sio waafrika.
Ungekuwa unafuatilia historia vizuri usinge toa hio kauli, kwa sababu historia inaonesha warabu origional ni weusi.
Hawa warabu weupe ni warabu wa mchongo waliopindua historia kama wale jews. Hata wahindi ni hivyo hivyo.
Ani asili mie, mbna ni muarabu wa msamala.Msaidie mwenzio anataka ku asili mtoto wa kiarabu
Afu MH nina jambo kuhusu kundi maalumu fulani, nitaweka uzi na nitakutag, uje utolee ufafanuzi na suluhisho, maana siku unawasilisha bajeti ya wizara, makundi yote mliyazungumzia, ila hili katuuSalaam, ahsante kwa swali zuri. Ngoja waandae hatua zote kwenye page moja kesho tutakupa hapa natunza link hii tafadhali.
Tafadhali soma hapa. Kwa msaada zaidi, wasiliana na afisa ustawi wa jamii wa eneo lako na simu pia nimekuwekea hapo. Chagua namba ya mkoa wako Tuma sms tafadhali atakujibu. Ukikwama huko, lete rufaa kwangu kwa sms nisikilize, namba yangu pia iko humo. Shukrani na ahsante sana kwa moyo wako na familia yako🙏Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.
watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada.
Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji kupata moja kutoka nje awe mwarabu.
Elimu: sote tuna masters
Kazi : wote ni watumishi serikalini, Mimi ni muhasibu, wife ni lecturer
Misaada kwa jamii: tume adopt mtoto moja, kila baada ya miezi mitatu tunatoa misaada vituo vya watoto yatima
Wanyama: wote tunapenda na kujali wanyama, tunafuga paka na mbwa, tunawajali kwa usafi, chakula, afya na malazi
Uhalifu: wote hatuna rekodi za kufungwa jela
Elimu kwa watoto: wote wanasoma private zenye vyoo visafi, chakula, hawapigwi, kuna computer, hajifunza kiingereza na kifaransa, n.k.
Kazi za nyumbani kwa watoto: tupo makini sana kuhakikisha wanaweza kujitunza wao na mazingira. house girl hahusiki kwenye kazi wanaozoweza.
😂😂😂Ani asili mie, mbna ni muarabu wa msamala.
😂😂😂😂😂
ili?Kwanini unaadopt usizae wako? and why mwarabu? bila shaka hata jinsia yake ulopanga ni KE
Hauamini au? 😂😂😂
Hahaha hujambo mtoto mzuriiHauamini au? 😂😂😂
ninaasili mumama wa 50s , we wa 30s tafuta wa kukuwowa au subiri ufike 50s uje.Hivi kuasili mwisho umri gani??? Mumama wa 30s naweza kuasiliwa? Maana dah......
YesNikapate hechiaivi