MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Natumia Sony WH-1000xm3 nilinunua June 2019, bei ilikuwa 900K. Iliniuma lakini sijawahi kujuta.Asante,vipi za za 200k au 300k siwezi kupata quality headphones?
Hizo sony WH series ndio zinaanzia bei gani?
Hii kampuni ilishauzwa Apple siku nyingi tu. Earphone za Apple ndo hizo hizo Beats.Dr Dree inasumbua kuipata wauzaji wanasema wanunuzi wachache
Hii bei unaweza pata hizo hizo za milioni.Asante,vipi za za 200k au 300k siwezi kupata quality headphones?
Hizo sony WH series ndio zinaanzia bei gani?
Mzee sio kinyonge hizoMimi nimeangalia reviews nyingi sana za earbuds/headphones.
Kwa earbuds, Rankings zipo hivi.
1. Sony WF-XM1000
2. Bose Quitecomfort
3. Senheizer momentum 3
4. Airpods Pro
Bei sio za kinyonge though, Sony WF-XM1000 (ninayotumia) inapatikana kuanzia 750,000 na kuendelea.
Du! Aise hizi bei kweli sio za kinyonge,vipi mziki wake lakini?Mimi nimeangalia reviews nyingi sana za earbuds/headphones.
Kwa earbuds, Rankings zipo hivi.
1. Sony WF-XM1000
2. Bose Quitecomfort
3. Senheizer momentum 3
4. Airpods Pro
Bei sio za kinyonge though, Sony WF-XM1000 (ninayotumia) inapatikana kuanzia 750,000 na kuendelea.
Aisee 900k lazima iume, maana ukifikiria mara mbilimbili unaweza kuahirisha, ulinunua online au?Natumia Sony WH-1000xm3 nilinunua June 2019, bei ilikuwa 900K. Iliniuma lakini sijawahi kujuta.
200K unapata headphones nzuri sana, ila make sure ni za ukweli. Angalia online uone brand kama Sony, JBL etc zina bei gani, utapata mwongozo. Ila ukiona mtu anakuuzia Sony kwa 100K kuwa macho.
Asante, kwahio kumbe huwa zinashuka bei kutoka $500 hadi $200 au $100?.Hii bei unaweza pata hizo hizo za milioni.
1. Jua namna ya kuship vitu toka nje kuja Tz
2. Hakikisha una hela muda wote ipo ready
3. Mara kwa mara cheki deals mbalimbali, utaona tu siku earphone za $500 zinashuka $100 ama $200.
Kuna jamaa aliniletea, zilikuwa kama 350usd. Ila zimedumu sana, nilikuwa nanunua za 200K miezi michache zinakufa, hizi zimedumu miaka 3 sasaAisee 900k lazima iume,maana ukifikiria mara mbilimbili unaweza kuahirisha,ulinunua online au?
Soko la Marekani ama Nchi yoyote ya Ulimwengu wa Kwanza hizo offer hukosi, na bei inashuka for a moment, sometime dakika kadhaa tu.Asante,kwahio kumbe huwa zinashuka bei kutoka $500 hadi $200 au $100?.
Kinachofanya hasa bei ifike mamilioni ni nini?
2O-45KZinaanzi bei gani hizi?
Me nitataja Mid rangers tu sio izo JBL za mamilioni.
1. Kwa Mazoezi natumia Redmi Airdot 3 na 3 Lite. (Dot 3 elfu 80 na Lite elfu 50).
2. Kwa music nikiwa ofisini au nafanya kazi kwenye PC natumia Anker Soundcore Q30 (Nilinunua 160).
3. Kwa kukaa tu ofisini na kuongea kwenye cm earpods za Apple gen 1 sio Pro. (Nilinunua 120 used).
Hizo zote brand kubwa. Ukitumia bila kuzirudishia kwenye case yake zinichaji ni 6-9 hours.Chaji inadumu muda gani endapo ikiitumia non-stop?