MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Natumia Sony WH-1000xm3 nilinunua June 2019, bei ilikuwa 900K. Iliniuma lakini sijawahi kujuta.Asante,vipi za za 200k au 300k siwezi kupata quality headphones?
Hizo sony WH series ndio zinaanzia bei gani?
200K unapata headphones nzuri sana, ila make sure ni za ukweli. Angalia online uone brand kama Sony, JBL etc zina bei gani, utapata mwongozo. Ila ukiona mtu anakuuzia Sony kwa 100K kuwa macho.