Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

Bosse nilinunua mwaka huu 75k makumbusho nililetewa kabisa delivery juu kumbe ni fake kmmk wachina wapo vizuri Kwa kutoa kitu ukikiona kama OG nilinunua bosse 700[emoji116]View attachment 2363620
Yaani bose headphone iuzwe elfu 75 na wewe ukaiamini.

Hizo headphone Genuine ni almost kama 1 million hivi(au pungufu kidogo), wewe ukawa unataka uidake kwa elfu 75?
 
Yaani bose headphone iuzwe elfu 75 na wewe ukaiamini.

Hizo headphone Genuine ni almost kama 1 million hivi(au pungufu kidogo), wewe ukawa unataka uidake kwa elfu 75?
Mzee nilikuwa mgeni na bosse ndo naanza kuijua alafu siunajua vijana wa makumbusho wanavojua kubrand vitu IG ukikuta wamekipiga picha kitu kama hujazama ndichi kufanya comparison ya OG Vs FAKE lazima upuyange
 
Yaani bose headphone iuzwe elfu 75 na wewe ukaiamini.

Hizo headphone Genuine ni almost kama 1 million hivi(au pungufu kidogo), wewe ukawa unataka uidake kwa elfu 75?
Baada ya kujua ni famba nilikaaa nayo wiki Tu dogo mmoja akajilengesha nikamuuzia 50k nilibaki na kibegi chake Tu hichi apa[emoji116][emoji16]
 
Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?

Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.

We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…