Ni hivi yanga wanajua wamevunja sheria na kanuni,na wanaweza kunyang'anywa point 3 ila wameamua kubweka sana ili kufunika hilo

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi.

Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua kuliko wenye sheria yenyewe.

Nawanafahamu fika wamevunja sheria na wakibanwa kisheria wananyang'anywa poit tatu pasipo kupapasa macho

Yanga anabase kwenye utaratibu ambao haupo kisheria na hakuna mahali mgeni sheria au kanuni inamtaka atoe taarifa wakati anaenda uwanjani,hivyo anaweza akaenda akatoa getini pale pale.

Simba anabase kwenye sheria na kanuni na zinamtetea,na zinamtaka afanye vile kama ambavyo alitaka kufanya..kama kulikuwa na kulikuwa na chochote kinachoendelea uwanjani..ushahidi upo wap na taarifa juu ya hilo katoa nani?au mabaunsa

Yanga aache siasa adondoshe point 3 kwa Simba.

Na huu mpango wa kutaka kamati ivunje ni kutaka kuwatia hofu au kupeleka uwoga ili bodi ikubaliane na madai yao...hawa jamaa wana mambo ya kitoto aisee.
 
Luc Eymael dhidi ya Mashabiki wa Yanga

"Mashabiki walikuwa wanamzomea Yikpe ili nimtoe. Mashabiki wa Yanga ni kama mambumbu, wanapiga makelele tu na kuzomea kama nyani au kubweka kama mbwa" Luc Eymael
 
Hapo vip!!
Ninachokiona kwenye sarakasi yotr ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi.

Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua kuliko wenye sheria yenyewe.

Nawanafahamu fika wamevunja sheria na wakibanwa kisheria wananyang'anywa poit tatu pasipo kupapasa macho

Yanga anabase kwenye utaratibu ambao haupo kisheria na hakuna mahali mgeni sheria au kanuni inamtaka atoe taarifa wakati anaenda uwanjani,hivyo anaweza akaenda akatoa getini pale pale.

Simba anabase kwenye sheria na kanuni na zinamtetea,na zinamtaka afanye vile kama ambavyo alitaka kufanya..kama kulikuwa na kulikuwa na chochote kinachoendelea uwanjani..ushahidi upo wap na taarifa juu ya hilo katoa nani?au mabaunsa

Yanga aache siasa adondoshe point 3 kwa Simba.

Na huu mpango wa kutaka kamati ivunje ni kutaka kuwatia hofu au kupeleka uwoga ili bodi ikubaliane na madai yao...hawa jamaa wana mambo ya kitoto aisee.
Na wewe uwa unaitwa kwenye vikao vya familia kutoa ushauri na wanakutegemea? Ebu tutajie hizo Sheria na kanuni walizovunja yanga na ututajie kanuni aliyosimamia Simba kugomea mechi?
 
Huna hadhi ya kuniuliza swali?bora ukae kimya
 
Yanga hawakuzuia mchezo walinzi walizuia mazoezi usiku bila taarifa point tatu kwao ni halali
 
Unahangaika bure na mambo ya simba na yanga waachie wenyewe
 
Back
Top Bottom