Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi.
Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua kuliko wenye sheria yenyewe.
Nawanafahamu fika wamevunja sheria na wakibanwa kisheria wananyang'anywa poit tatu pasipo kupapasa macho
Yanga anabase kwenye utaratibu ambao haupo kisheria na hakuna mahali mgeni sheria au kanuni inamtaka atoe taarifa wakati anaenda uwanjani,hivyo anaweza akaenda akatoa getini pale pale.
Simba anabase kwenye sheria na kanuni na zinamtetea,na zinamtaka afanye vile kama ambavyo alitaka kufanya..kama kulikuwa na kulikuwa na chochote kinachoendelea uwanjani..ushahidi upo wap na taarifa juu ya hilo katoa nani?au mabaunsa
Yanga aache siasa adondoshe point 3 kwa Simba.
Na huu mpango wa kutaka kamati ivunje ni kutaka kuwatia hofu au kupeleka uwoga ili bodi ikubaliane na madai yao...hawa jamaa wana mambo ya kitoto aisee.