Ni hofu ipi kuu inayokusumbua? Hata uwe jasiri kiasi gani lazima kuna vitu vinavyokutia hofu na unatumia njia gani kuishinda?

Ni hofu ipi kuu inayokusumbua? Hata uwe jasiri kiasi gani lazima kuna vitu vinavyokutia hofu na unatumia njia gani kuishinda?

Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu.

Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa.

Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri siku zinavyoenda unaogopa. Kuna watu wanaogopa:-
-Kupanda ndege
-Umri ukisogea
-Kusimama na kuongea mbele ya watu wengi
-Kuona maiti
-Kufa
-Kuwa maskini
-Mitihani
-Ajali ya majini, ardhini, angani n.k
-Majanga ya asili k.v mafuriko, tetemeko la adrhi, dhoruba n.k
-Kuvamiwa na watu
-Wadudu, wanyama
-Kufa
-Kuachika
-Kuishi mwenyewe
-Vita
-Bosi kazini
-kufanya mapenzi
-Magonjwa
-Kuoa au kuolewa
-Kuchelewa kuoa au kuolewa
-Kutopata mtoto
-Kuchekwa
-Kuachika au kuachwa

Yapo mambo mengi yanaweza kukutia hofu. Unatumia njia gani kutatua hofu inayokusumbua?
Kuzeeka😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom