torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
DuuhMimi naogopa nyoka! Hata nikimuona kwenye picha nitakaa siku nzima na wasiwasi.
Mbona ile kitu ya kiumeni inafanana na nyoka lakini huiogopi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhMimi naogopa nyoka! Hata nikimuona kwenye picha nitakaa siku nzima na wasiwasi.
Yakimbie maana lah sivyo mbususu itasasambuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣Naogopa sana Madeni
Atujibu hapaDuuh
Mbona ile kitu ya kiumeni inafanana na nyoka lakini huiogopi,
Iwe kama ya kikongwe 😅Yakimbie maana lah sivyo mbususu itasasambuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Tena tunataka majibu ya sahihiAtujibu hapa
Macho kupoteza visionNi hofu ipi kuu inayokusumbua?
Kuzeeka😭😭😭😭Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu.
Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa.
Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri siku zinavyoenda unaogopa. Kuna watu wanaogopa:-
-Kupanda ndege
-Umri ukisogea
-Kusimama na kuongea mbele ya watu wengi
-Kuona maiti
-Kufa
-Kuwa maskini
-Mitihani
-Ajali ya majini, ardhini, angani n.k
-Majanga ya asili k.v mafuriko, tetemeko la adrhi, dhoruba n.k
-Kuvamiwa na watu
-Wadudu, wanyama
-Kufa
-Kuachika
-Kuishi mwenyewe
-Vita
-Bosi kazini
-kufanya mapenzi
-Magonjwa
-Kuoa au kuolewa
-Kuchelewa kuoa au kuolewa
-Kutopata mtoto
-Kuchekwa
-Kuachika au kuachwa
Yapo mambo mengi yanaweza kukutia hofu. Unatumia njia gani kutatua hofu inayokusumbua?