Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi.

Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao inajurukana kama rasimu ya katiba.

Kilichobakia ni hii rasimu kufanyiwa implementation ili iwe katiba yetu.

My take; Tuache uzandiki na uchawq wa kishamba kwenye masuala ya msingi.
 
Kwa siasa za CCM lolote lawezekana
 
Lengo ni kuhakikisha hawajibishwi.
 
All of this happens simply because we don't have people who are accountable critical and analytical thinkers.
This country have only political big fishes who are always worried for they're political positions...🤨
 
Back
Top Bottom