Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko.

Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati.

Pamoja na watu wengi kulalamikia bili hizo kuwa zinakuwa na bei kubwa ukilinganisha na matumizi lakini wamepiga hatua kubwa.

Vilevile wamejitahidi kuunda Group za WhatsApp kwa ajili ya kupokea kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati.

Vipi kwenye eneo unalotoka huduma zipi zinatolewa vizuri?
 
Huduma za;
1. Elimu,
2. Afya,
3. Maji Safi na maji taka,
4. Uzoaji wa taka,
5. Mkopo ya Vijana na wakina Mama kwenye Halmashauri,
6. Barabara,
7. Msaada wa kisheria,
8. Makazi,
9. Viwanja vya michezo,
10. Ulinzi na usalama (mambo na vituo vidogo vya polis).
11. Mawasiliano ya simu (Ikiwemo Free Wi-Fi).

Nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kutekeleza ilani kwa vitendo
 
Naona fresh changamoto ipo mtu anajizungusha sana moja ya kotu meona sekta binafsi wako serious sana na customer care service ila gavoo hilo swala kwao km wanalazimshwa.
 
Back
Top Bottom