Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

Huduma za;
1. Elimu,
2. Afya,
3. Maji Safi na maji taka,
4. Uzoaji wa taka,
5. Mkopo ya Vijana na wakina Mama kwenye Halmashauri,
6. Barabara,
7. Msaada wa kisheria,
8. Makazi.
πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Swali zuri sana. Tunafuatilia comments.

Hata hivyo, tunawakumbusha wale wanaopenda kushiriki kwenye Programs za usafi na mazingira katika jiji la DSM kuendelea kujiorodhesha kwa wingi.

Kwa niaba ya Rais jiji la DSM litakuwa safi.
 
Ulinzi wa nchi hasa mipaka (JWTZ)
 
Swali zuri sana. Tunafuatilia comments.

Hata hivyo, tunawakumbusha wale wanaopenda kushiriki kwenye Programs za usafi na mazingira katika jiji la DSM kuendelea kujiorodhesha kwa wingi.

Kwa niaba ya Rais jiji la DSM litakuwa safi.
Na wa mikoani Je?
 
Swali zuri sana. Tunafuatilia comments.

Hata hivyo, tunawakumbusha wale wanaopenda kushiriki kwenye Programs za usafi na mazingira katika jiji la DSM kuendelea kujiorodhesha kwa wingi.

Kwa niaba ya Rais jiji la DSM litakuwa safi
Na wa mikoani Je?
Tunakuja...tunaendelea kuweka mambo sawa
 
Sawa.
 
Huduma ya kufuta vijiji na wilaya. Katika hili hawana mpinzani.

Nawaombea waendelee kukuwa zaidi, ikiwapendeza wafute na nchi kabisa.
 
Nipe miezi mitatu nifikirie manake sipati hata wazo tu ni huduma gani hiyo.
 
Jeshi la wananchi pekee ndio kidogo wanajua wanachofanya hata ukienda hospital zao au maofisini wana-nidhamu ya kazi
πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Kuwarundikia mapesa kina Aziz Ki kupitia goli la mama huku kina mama wakipoteza maisha leba kwa kukosa huduma stahiki;
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huduma zimeboreshwa hospital lakini
 
rushwa kiukweli wamejipanga vizuri katika hilo
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huduma zimeboreshwa hospital lakini
sawa basi afanye kwenda extra mile; afanye jambo moja tu la maana litakalo mfanya aishi ndani ya mioyo ya akina mama na watoto wa Tanzania wakati wote; kila mama anayejifungua ampe laki moja tu kama "hongera" badala ya kuzimwaga kwa wacheza mpira ambao tayari ni matajiri;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…