Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

Nyie watu, akili na nyie vimepishana kabisa
 
Hahahaaa yaani sisi watz ni kama mazombi tumeshasahau huruma ya muarabu ndio imesababisha tucheze fainali za afcon hadi uganda akabaki kulalamika
Unasahau hisani aliyotufanyia Uganda katika kuiwezesha Tanzania kushiriki fainali za Afcon za 2019.
 
Mwarabu wa buza pole yako. Mimi n8mefurahi sana wale waliokuwa wanaitwa favourite kutolewa. Kimsingi ndio walikua wanapendelewa ili hiyo favorite ihalalishwe. Hongera kwa Ibory coast, SA na wengine wenye mchango wa kuwatoa wote waliokua wanaitwa favorite 😃😃😃😃😃
 
Acha uchochezi we mfia dini. Morocco, misri, tunisia, algeria na hao mauritania kwani wao wana uwezo gani kimpira mpaka mpaka wasitolewe na timu zingine? Nimefurahi sana timu hizo kutolewa kwani zilijaa kiburi sana na kujiona wao ndio miamba ya soka afrika
 
Ni football tu game zinechezwa wazi SEMA tu giants wote walikuwa wanaamin akuna wakuwasumbua especially Morocco🇲🇦
 
Timu zenye ukafir??

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
South Africa ana record nzuri dhidi ya Morocco.
Ukiangalia H2H utaona recently South anajipigia tu kwa Morocco.
Morocco pia hana record yoyote ya maana kwenye Afcon kashinda mara moja tu tena kipindi wewe bado hujazaliwa.

Timu ya namna hiyo haiwezi kufika popote kwenye mashindano.
 
Kipindi mimi sijazaliwa wewe mama yako alikuwa bado hata kufikiriwa. Maana nimemwacha miaka kama 9 hivi.
 
Watu kwasasa wanajiongeza, (individual skills and talent),na wanawekeza kimyakimya bila makelele
 
Si hivyo bali ni kwamba timu za afrika zimezifuata timu za waarabu zilipo, wakati waarabu wanaamini wamelishika soka la afrika na wakazembea basi wenzao wakaamua kuwafuata huko walipo ndio maana utaona hakuna utofauti ya hivyo kati ya timu za waarabu na wasio waarabu kwenye Afcon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…