zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wagombea walikuwepo ila uchaguzi unahitaji rasilimali na mtandao na Dr slaa asingeweza raise funds kiasi hiko as compared to lowassa.Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani .
Nadhani hapa ilifanyika tu risk assessment ikaonekana ni bora kutumia silaha zote kuing'oa CCM hata ikiwezekana shetani kutoka kuzimu. Yes ingekua na madhara baada ya kushindwa uchaguzi ila kama tungeshinda watu wangesahau yote.Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi
Na defense ya Mbowe ni kwamba alikua fisadi sababu Ccm nzima ni mafisadi ila kwakuwa kahamia chama "kisafi" obviously hatoweza kuwa fisadi akiwa Rais maana atakua monitored.
Kwa maslahi ya wananchi maana chadema ingeleta mabadiliko kuliko CCM ambayo miaka 60 sasa haijaacha ufisadi.Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au watu wachache kwa maslahi yao
Kama ingekua maslahi binafsi wangempitisha Dr slaa maana wangepata majimbo kadhaa na kuongeza ruzuku basi ila pale walipoamua kuweka rehani credibility ya chama ili waingie ikulu ilionyesha seriousness ya kulinda maslahi ya nchi kuliko ya chadema wenyewe.
Dr Slaa alikuwepo kwenye kamati ya kumleta Lowassa chadema cha ajabu alipopewa fomu ya kugombea akasusa!! Hivi really ulitegemea umchukue mtu kama majaliwa aje chadema eti asigombee Urais ila awe mpambe wa Lissu?? It's not realistic.....Na ni lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa mpaka anaonekana msaliti?
Kingine alikosea kuita press na kuanza kuitukana chama. Waliokasirishwa na Lowassa kuja ni wengi akiwemo Lissu, Mnyika, kina safari n.k lakini walijitenga tu na chama ila hawakuwahi kitukana hadharani that was a traitor habit.
JPM was very strong maana alikubalika mpaka na sisi chadema. So Dr Slaa na JPM wana siasa zinafanana so kusingekua na haja ya kumchagua Dr slaa wakati "mpinga ufisadi" JPM naye alikua kwenye ballot.Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kusimamishwa EL?
So ilihitajika nguvu ya juu zaidi kuzima ule upepo wa JPM na kweli tokea Lowassa atangazwe kuhamia chadema siasa zote zikabadilika, JPM akapotezwa kwenye ramani ikawa Lowassa kuanzia media mpaka watoto wa chekechea.
Politics is an art but the few have really mastered, in fact the Lowassa factor was a lifeline to opposition to Mount a serious challenge to the ruling party. Unfortunately we might never witness such a candidate ever again.