Atleast Kuonekane Demokrasia kidogoKabisa, inatia shaka na kuacha maswali mengi.
Mbowe atunze heshima yake, aachie madaraka ya uwenyekiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast Kuonekane Demokrasia kidogoKabisa, inatia shaka na kuacha maswali mengi.
Mbowe atunze heshima yake, aachie madaraka ya uwenyekiti.
Hata Nyerere ilibidi akae madarakani miaka 22, CDM inamwitaji Mbowe sasa kuliko wakati mwingine wowote!Je CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti ? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo ?
Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia ? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule .
Binafsi kama mwanachama huwa najiuza hili swali nikiuliza najibiwa akiondoka chama kinakufa ,je kweli ?
Je hakuna namna ikawekwa misingi Imara kama ilivyo kwa Republican na Democratic US ?
Au kuna elements za dictatorship kama
Kuamini hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yako
Tamaa ya kuendelea kuwepo madarakani ?
Kuna muda naona kama anafanya vitu ambavyo vinaipa faida sana CCM kuliko CDM naona akipumzika akawa Mlezi wa chama kinaweza songa mbele zaidi .
Kama. Chama kina mtu mmoja tu ambaye hanunuliki basi ni jangaHuyo hamumtaki kwa kuwa hanunuliki, mmeshindwa kumnunua. Tulieni. Shughulikieni mapungufu yenu huko ccm, yapo mengi
Mfano Mungu kamchukua Mbowe ndio utakuwa mwisho wa chadema?Mbowe Sio kiongozi mwenye maono miaka zaidi ya 20 hauwezi kukosa vijana hata 10 wenye maono na uthubutu wa kuongoza chama, Mbowe hajifunze kwa watangulizi wake akina Bob Makani na Mtei waliongoza miaka 10/10 wakamwachia ingawa alikuwa kijana hasiye na uzoefu wowote wa uongozi.CDM inamwitaji Mbowe sasa na miaka 10 ijayo!
Politically speaking,Je CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti ? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo ?
Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia ? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule .
Binafsi kama mwanachama huwa najiuza hili swali nikiuliza najibiwa akiondoka chama kinakufa ,je kweli ?
Je hakuna namna ikawekwa misingi Imara kama ilivyo kwa Republican na Democratic US ?
Au kuna elements za dictatorship kama
Kuamini hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yako
Tamaa ya kuendelea kuwepo madarakani ?
Kuna muda naona kama anafanya vitu ambavyo vinaipa faida sana CCM kuliko CDM naona akipumzika akawa Mlezi wa chama kinaweza songa mbele zaidi .
Hakuna kitu kama hicho na kuna uwezekano anawapa support kijani
Kama. Chama kina mtu mmoja tu ambaye hanunuliki basi ni janga
Acheni janja janja, wapeni wananchi Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi tuone..Sio kweli
Wana lao jambo hao maccm. Wanatafuta fursa ya kuweka kibaraka wao kama walivyo fanikiwa kufanya kwa CUF, ACT, TLP, nk..Cha ajabu CCM ndio siku zote wanalilia democrasia ndani ya CHADEMA utasikia mbowe sijui hivi mala mbowe vile
waga najiuliza hivi kweli CCM inaipenda sana CDM Kiasi hiki????
Umeandika uongo kwa faida ya nani ?Ngoja aje Erythrocyte mtumishi mwaminifu wa Mbowe .
Ujinga mtupu!Jibu ni rahisi tu. Tafuta vyama vingine vya upinzani ambavyo vimebadilisha wenyeviti wao kifala bila kuchukua tahadhari ya athari za ccm juu yao kama vipo hai. Hebu imagine km mwenyekiti wa chadema angekuwa lipumba, jaribu kuwaza km mwenyekiti wa chadema angekuwa zitto, jaribu kuwaza km mwenyekiti wa chadema angekuwa halima mdee, jibu unalipata
Acheni janja janja, wapeni wananchi Katiba mpya tuone..
View: https://youtu.be/cMBS4qMPJ8M?si=7cp958Qfx8t-NPtP
Madam na wewe unatumia “talking points” za CCM? CCM iliyohodhi madaraka kwa “goli ya mkono” tangu uhuru hadi leo ndio iwadhihaki CHADEMA kwa wananchi kwa suala la mwenyekiti wake tu?Kiukweli hili halileti picha nzuri kwa chama kinachojipambanua kwa demokrasia.
Kama chama tu anakaa madarakani miaka 20, nchi itakuwaje?
Hili linawapa sababu CCM ya kuwadhihaki kwa wananchi na ni ukweli ambao haupingiki.
Mbowe ni moja ya wanasiasa mahiri na historia itamkumbuka kwa hilo, lakini mtumbuizaji bora ni yule anayejua muda wa kuondoka jukwaani.
Hiyo nchi ya kupewa chadema ni nchi gani kweli?Kiukweli hili halileti picha nzuri kwa chama kinachojipambanua kwa demokrasia.
Kama chama tu anakaa madarakani miaka 20, nchi itakuwaje?
Hili linawapa sababu CCM ya kuwadhihaki kwa wananchi na ni ukweli ambao haupingiki.
Mbowe ni moja ya wanasiasa mahiri na historia itamkumbuka kwa hilo, lakini mtumbuizaji bora ni yule anayejua muda wa kuondoka jukwaani.
Kwa hiyo ukiondoa Mbowe waliobaki wote Chadema ni wala rushwa(wananunulika?)Huyo hamumtaki kwa kuwa hanunuliki, mmeshindwa kumnunua. Tulieni. Shughulikieni mapungufu yenu huko ccm, yapo mengi
Kwahiyo chadema nzima ambaye hanunuliki ni mmoja Tu Mbowe pekee yake? DuuhHuyo hamumtaki kwa kuwa hanunuliki, mmeshindwa kumnunua. Tulieni. Shughulikieni mapungufu yenu huko ccm, yapo mengi