Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

Fateema

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2024
Posts
234
Reaction score
495
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je, kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Huwa wapo vizuri, kwa huku kigamboni hospitali ya kibugumo kuna daktari mzuri, yeye anashona havalishi Pete. Bei 15,000 tu
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Mimi natahiri nyumbani bure kabisa lakini nitaomba tu kubaki na govi, nina kazi nazo sana

Karibu
 
Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii.

Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake zimechangamka. Sh elfu 60 kwa kila mtoto jumla laki na 20 sina hiyo pesa.

Je kwenye kila hispitali ya serikali hiyo huduma huwa inakuwepo? Naishi Chanika
Lugalo TPDF HOSPITAL
 
Back
Top Bottom