Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Kutokana na utandawazi, karibia robo tatu ya warembo kwa nyakati hizi huwa wanavaa shanga kiunoni au ata miguuni; wao wanaita urembo.

Ingawa wao wanavaa wakiamini, huwa zinawapendezesha na pia uwavutia wapenzi wao pale wanapokuwa au wanapohitaji kuwa kwenye mahusiano.

Mara nyingi warembo ninaokutana nao, huwa wana hizo shanga, na tunapokuwa kwenye tendo la ndoa huwa sioni kama zinaongeza chochote, zaidi tu ya kuziona basi.

Siku moja nikaamua kuzifanyia ubunifu; nikiwa nipo kwenye zoezi, nilizikamata hizo za kiunoni na kuzisokota ili zibane kiuno; baada ya hapo nikawa nachochea moto, mara nikaona ushirikiano unaongezeka kwa spidi kubwa, kiuno kikawa kinazungushwa kama feni huku akilalamika; ndipo nilipogundua, ile ndio itakuwa kazi kubwa ya shanga za kiunoni.

Kwa nyie wakuu, huwa mnazitumiaje zile shanga katika kunogesha tendo la ndoa?

Navyoelewa shanga kwa watu wa bara especial kanda ya ziwa wanawake wanaivaa kama urembo na utamaduni na huvalishwa tangu utotoni,watu wa pwani wanaivaa sababu ya ngono
 
Navyoelewa shanga kwa watu wa bara especial kanda ya ziwa wanawake wanaivaa kama urembo na utamaduni na huvalishwa tangu utotoni,watu wa pwani wanaivaa sababu ya ngono
Shanga pia inatengeneza shape ya mtoto..akiwa mdogo ukimvisha shanga na ukamfanyia massage ya mafuta baada ya kuoga. Yaani inafanya kiuno kionekane๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Sio kweli.. Zina kazi yake labda useme kwa wasio jua maana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shanga inaweza kukuonyesha mwanamke yupo katika hali gani bila kuongea, mfano ukiona ina nyekundu,nyeupe,nyeusi.๐Ÿ‘
Shanga inakuonesha mwanamke yupo ready kwa tendo, inakuonesha pia kama hayupo tiar..
Zinahamsha hisia hata kwa mwanaume ambae hakuwaza kufanya tendo.. ๐Ÿ˜€
Kama unaelewa utajua ila kama hujui utaona ni urembo tuu au kero..๐Ÿ‘‹

Na hazitakiwi kuonekana njeee ni mali ya ndaniii, wenye kuiga bila kujua maana ndo hufanya ivyo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna mmoja zilimkatikia kwenye daladala..!! Wacha rangi rangi zisambae..!! Na vinadundaga balaa
 
Back
Top Bottom