Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Sio kweli.. Zina kazi yake labda useme kwa wasio jua maana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shanga inaweza kukuonyesha mwanamke yupo katika hali gani bila kuongea, mfano ukiona ina nyekundu,nyeupe,nyeusi.๐Ÿ‘
Shanga inakuonesha mwanamke yupo ready kwa tendo, inakuonesha pia kama hayupo tiar..
Zinahamsha hisia hata kwa mwanaume ambae hakuwaza kufanya tendo.. ๐Ÿ˜€
Kama unaelewa utajua ila kama hujui utaona ni urembo tuu au kero..๐Ÿ‘‹

Na hazitakiwi kuonekana njeee ni mali ya ndaniii, wenye kuiga bila kujua maana ndo hufanya ivyo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huo ni unyago wa pwani; tuongee mambo ya kizungu sasa, nakutana na pisi kali yenye shanga za gold hapo inakuwaje?
 
banaaa kuna namna inashikwaaaa... sio kwa maguvu sanaaa... hiyo ni moja ya kazi.. kazi ingine nikuambie ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… najua zina kazi nne..
Ukiwa unaziparaza kwenye nyonga ndo inapendeza au demu akiwa anamwaga maji nazo unazivuta vile zinamwagika pamoja na maji inaongeza hasira ya kushindilia
 
Navyoelewa shanga kwa watu wa bara especial kanda ya ziwa wanawake wanaivaa kama urembo na utamaduni na huvalishwa tangu utotoni,watu wa pwani wanaivaa sababu ya ngono
Kweli, kwa nyakati hizi wengi wanavaa ili kunogesha mahusiano
 
Back
Top Bottom