Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Navyoelewa shanga kwa watu wa bara especial kanda ya ziwa wanawake wanaivaa kama urembo na utamaduni na huvalishwa tangu utotoni,watu wa pwani wanaivaa sababu ya ngono
 
Navyoelewa shanga kwa watu wa bara especial kanda ya ziwa wanawake wanaivaa kama urembo na utamaduni na huvalishwa tangu utotoni,watu wa pwani wanaivaa sababu ya ngono
Shanga pia inatengeneza shape ya mtoto..akiwa mdogo ukimvisha shanga na ukamfanyia massage ya mafuta baada ya kuoga. Yaani inafanya kiuno kionekaneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna mmoja zilimkatikia kwenye daladala..!! Wacha rangi rangi zisambae..!! Na vinadundaga balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…