Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

Huo ni unyago wa pwani; tuongee mambo ya kizungu sasa, nakutana na pisi kali yenye shanga za gold hapo inakuwaje?
 
banaaa kuna namna inashikwaaaa... sio kwa maguvu sanaaa... hiyo ni moja ya kazi.. kazi ingine nikuambie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… najua zina kazi nne..
Ukiwa unaziparaza kwenye nyonga ndo inapendeza au demu akiwa anamwaga maji nazo unazivuta vile zinamwagika pamoja na maji inaongeza hasira ya kushindilia
 
Navyoelewa shanga kwa watu wa bara especial kanda ya ziwa wanawake wanaivaa kama urembo na utamaduni na huvalishwa tangu utotoni,watu wa pwani wanaivaa sababu ya ngono
Kweli, kwa nyakati hizi wengi wanavaa ili kunogesha mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…