Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

Ni kukutakia heri tu ndugu,hiyo huambatana na maneno mazuri ya kukutia moyo na kouona mchango wako kwa watu wako.kuna mtu ulimgusa jwa namna moja au nyingine au hata ni kipenz chako anamua kukupa zawadi.ni hongera pia kwa kujitunza maana maisha na afya vinaanza na wewe kwanza
hahaha bado sjajua kwa nn hua hivyo
 
heri hio umesoma unahitimu kusoma sasa kuzaliwa? tena mtu anafanya na party sjawah kuelewa hili
Sasa unadhani kupita kwenye via vya uzazi vya mama ni kazi ndogo? Unajua ni wangapi walishindwa na wengine wangapi wakafa pamoja na mama zao?
 
Sasa unadhani kupita kwenye via vya uzazi vya mama ni kazi ndogo? Unajua ni wangapi walishindwa na wengine wangapi wakafa pamoja na mama zao?
kufa ni lazima, hao ndio waliandikiwa kufa kwa style hio kwa hio sherehe sababu umetoka vizur bila mushkeli
 
Kuna logic gani ya kufanya sherehe ya siku ya kuzaliwa?
 
Ile fathers day ndio mtu anampost mshua na maneno kibao. Vipi siku zingine hastahili haya maneno mazuri na zawadi??? Kwanini iwe mbaka hizo siku tajwa tu ndio haya mambo yawe kwa wingi?? Au ndio technolojia labdaa....
Mbaka??!!
 
Kwangu hakuna mambo ya birthday na watoto wameshazoea hivyo. Hawana mzuka kabisa na birthday zao zaidi ya kusali baas.

Nimewaambia jambo zuri ni kumpenda ndugu yako, mpongeze kila wakati ikibidi na sali mara nyingi uwezavyo.

Sitaki wanangu waje kuendeshwa na kasumba za hii dunia.
 
Uko sahihi sana Mkuu. Nadhani ilikuwa ni vyema zaidi kumshukuru MUUMBA wako kwa dhabihu/Sadaka na sio wewe kupokea hela au zawadi. Ikiwezekana na hao wadau wako pia wamshukuru MUNGU pamoja na wewe kwa njia hiyo hiyo ili kukuombea umri mrefu zaidi na heri na fanaka.
 
uko sahihi sana
 
kina rafiki yangu ana watoto watatu bas zikifika birthday zao kama hana hela hana raha kishawazoesha kununua keki soda wafanye kishughuli hata kidogo mwambie sasa hakuna maana yoyote ile kwenye hio shughuli kwan anaelewa, tunafuata mkumbo ukiwaza kwa undani zaidi unaona kabisa hakuna maana ya kupokea zawadi wala kusherehekea siku yako ya kuzaliwa
 
Back
Top Bottom