Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 948
- 1,911
Wewe ni dingiii kabisaa, mungu akutunze kwa ajili ya wanao. Najua hata kwenye kuwasapoti 'in whatever they wish to' upo naooo.....heshima yako fazaKwangu hakuna mambo ya birthday na watoto wameshazoea hivyo. Hawana mzuka kabisa na birthday zao zaidi ya kusali baas.
Nimewaambia jambo zuri ni kumpenda ndugu yako, mpongeze kila wakati ikibidi na sali mara nyingi uwezavyo.
Sitaki wanangu waje kuendeshwa na kasumba za hii dunia.