Kwangu hakuna mambo ya birthday na watoto wameshazoea hivyo. Hawana mzuka kabisa na birthday zao zaidi ya kusali baas.
Nimewaambia jambo zuri ni kumpenda ndugu yako, mpongeze kila wakati ikibidi na sali mara nyingi uwezavyo.
Sitaki wanangu waje kuendeshwa na kasumba za hii dunia.