Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

Jishushe sasa ili muende sawa
 
Tulishakuonya mwanzoni ila hukusikia."KATAA NDOA"
 
Ban inakuja.
Subiri ban bwashee.
 
Loading failed ukweli mchungu ni kuwa, 'mwanamke hatoacha kukupima maisha yako yote' hivyo kamwe usilegeze kamba, tena kama ndiyo 'wenzangu na Mimi' ushasema, hili kabila kuna namna tupo bold naturally tu, yaani ukiwa dhaifu hakuna rangi utaacha kuona..!!

Kuwa mkali, kuwa na misimamo, hakikisha sana usiyumbishwe, ukikubali kuwa chini kwenye moja amini nakuambia umefungua mlango kuletewa ujeuri kwenye lingine..!! Hakuna mwanamke anapenda mwanaume dhaifu, laini laini, analegeza legeza, tunapenda wanaume wenye AMRI, na Ile MANHOOD hasa..!! kama wewe ni wa zile za 'babe babe' kwenye kila situation shauri yako,

Mwanamke wako akizingua unatakiwa uwashe moto hasa mzee, ukimuangalia jicho moja anaomba samahani, nyie endeleeni na mapenzi ya Kikorea..!!
 
Kwer hii ndio ule msemo sambaratisha furaha yangu 😆😆
 
Huyo kama akiwa anakuletea zile za kama hautaki sema ,Wewe muulze kwani ww unatakaje!? Sjui nataka uje nyumbani sshv kama upo busy mwambie kwa sasa nko busy ila baadae kdgo nitakuwa home akianza kama kufoka muulze huko kufoka kwako unamaanisha nn yani! Unatakaje sasa, Niamini atakuwa anatulza mshono.
 
Robert Heriel Mtibeli kuna mteja wako hapa. Je akitumia ile kanuni yako ya kumleta mama mzazi wa bwana kuishi naye itafaa?
 
Heshima mkuu. Heshima zote nakupa wewe. Ahsante kwa kuwa mkweli na hukujaribu kusimama upande wenu bali kusema ukweli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…