Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

He will learn the hard way lets give hands to time.
 
Nkikwambia mkeo kakuacha ila we uachiki ntakua mmetumia lugha tata?
 
Achana na huyo dada mara moja kabla haujapewa limbwata
 
Acha iteketee ila sishuki hakika, hapa nikutafuta njia ya kuishi nae ambayo atajikuta kajiteketeza yeye mwenyewe huku ndoa ikimcheka kwa upumbavu wake
Unahangaika bure tu, mbadilikie ajue kwamba una sura mbili. Huwezi kuishi na mwanamke ukiwa na profile moja kwake haswa ile ya Laissez faire tu.

You have to be wild sometimes na ikibidi tia makofi kadha wa kadha.
 
Nop huyu sio Gily Gru ninayemjua akaunti imevamiwa
 
Tafuta siku mtoe mazingira ya nyumbani nenda nae sehemu nzuri ongea nae mambo mengine kabisa yatakayo mfurahisha baada ya hapo mbadilikie na umueleze umemtoa out kwa sababu moja tu kuna mambo unataka kumueleza.

Mueleze kuwa haupendi jinsi anavyotaka kukupanda kichwani, na kwamba wewe ndo kiongozi wa familia kama hataki wewe uendelee kuwa mume wake akuweke wazi na siyo kukufanyia vituko, na pia mueleze umemuoa kwa wema kama yeye hahitaji kuishi na wewe aseme tu muachane kwa wema

Akisema bado anahitaji kuishi na wewe, mwambie kama anataka aendelee kuishi na wewe basi unahitaji kuheshimiwa kama vile wewe unavyo muheshimu na haupo tayari kuishi na mtu ambae hataki kukuheshimu kama mume wake.

Baada ya hapo maliza mada endelea na mada zingine ila ukirudi nyumbani badilika usiwe yule mtu aliekuzoea mwanzo anapostahili kuomba msamaha hakikisha ameomba msamaha, ishi nae vile anataka akileta mauzauza kuwa mkali mbadikie hadi ashangae kama ndo wewe na akiwa mstaarabu kuwa mwema sana kwake na akitishia kuondoka mwambie sawa unaweza kwenda.

Akiona umesimama kama mwanaume yeye mwenyewe atajiset na atabaki kwenye nafasi yake ila ukikubali kutikiswa umeisha mzee.
 
Labda mleta uzi anaangalia sana movie za kihindi kazoea kumuona Sharukhan akimlilia mpenzi wake na yeye anafanya hivyo hivyo
 
Atakuwa Mjamzito, akijifungua atabadilika.kuwa uvumilivu..
 
Chukua ushauri huu hapa, ajabu hakuna mwanaume aliyetoa ushauri wa kiume kama huu, inaonesha the level of emasculation in our society. Wanawake wachagga na wapare ni feminists by nature, nafikiri wengi wamekuzwa kwenye matriachy family (Mother rules) so kazi yao ni kuwafundisha wanaume kuwa wanaume, ukilegeza umeliwa.
 
"Kwani unatakaje?" men with balls
 
Ndo mpaka uwe mtu wa hovyo sasa 🀣
 
Chama bado kinakuita mkuu.
Hapo lazima ugangamale na uwe na misimamo zaidi yake, ukorofi na nginjanginja nyinginezo.

N.B Namba 3, ikitokea akasema tena mwambie aondoke bila kupepesa macho, akiondoka usimfuate hata iweje
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…