Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

😀😀

Wapare wanahitaji umzidi mambo nyeti hasa Akili na Pesa akikuona hamnazo na Pesa za kuvuta kamba lazima Hali hiyo ijitokeze. Ingawaje siô wote
Hamna bhana!

Wanawake wa kipare hawana malezi mazuri. Unaweza ukamzidi hivyo vyote na bado plan yake ya kukupanda kichwani ikawa bado ipo!

Wana kiburi na kisirani flani. Huwa hawataki kujishusha, hawakubali makosa na wanaujuaji mwingi sana. Muda wote wanajiona wao wapo sahihi na wewe ndiye mwenye makosa. Na muda wote wao wanataka wawe na kauli ya mwisho.

Utatumia njia ya ukali, au ya mazungumzo ya upole na kumfahamisha wewe kama mwanaume nafasi yako ni ipi na yeye kama mwanamke nafasi yake ni ipi lakini wapi! Hakuna mabadiliko yoyote yatakayotokea. Wanawake wa kipare wana tatizo la malezi.

Aina hii ya mwanamke mbeleni utamdhuru tu mwili wake.
 
Mm km mshauri wa kataa ndoa nime-note tone Yako ya kimama sana hata ulivyokua kataa ndoa ulikua una-act mama ww
 

😃😃
 
Mpe mimba back to back halafu mpeleke kijijini kwao akasikilizie mpaka atakapojifungua na mtoto kufikisha mwaka mmoja
 
Hakuna kitu kama hicho!

Wanawake wa huko maadili yao si mazuri.

Finland wanawake wao wana tabia hizo wanaume wao wanakimbilia kuoa Russia.

Kwa sababu aina hiyo ya mwanamke mwisho wa siku utamdhuru tu mwili wake.
 
Hakuna kitu kama hicho!

Wanawake wa huko maadili yao si mazuri.

Finland wanawake wao wana tabia hizo wanaume wao wanakimbilia kuoa Russia.

Kwa sababu aina hiyo ya mwanamke mwisho wa siku utamdhuru tu mwili wake.
Hii case ni kubwa, sio kama unavyotaka kurahisisha

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu ya abandonment issues.

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu ya msimamo wa mwanaume kuyumbishwa

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu hapakuwa na baba home au baba alikuwa dhaifu, lack of father/ male figure

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu mwanaume kuwa na tabia za kitoto, huwajibiki

Sasa anatakiwa ajue mwanamke wake anampigia kwenye angle ipi kabla ya kutatua tatizo

lakini utatuzi wa haya yote ni kuongeza msimamo, kuongeza umakini, take charge yani wajibika, acha tabia za kitoto usimchukulie mke km mamaako, anza kujiongoza then umuongoze
 
Will Jr nipo nachukua notice hapa mku..hapo kwenye mwanamke inategemea anapiga kwenye angle ipi umenikumbusha kuwa makini 24/7
 
Situation yako kama yangu, ila mimi sijamuoa huyu wa kwangu, na tunapoelekea naenda kuchukua fomu za kujiunga na chama cha Kataa ndoa kwa sababu ni utapeli kuigiza tabia ambayo imekuja kubadilika mbeleni huku.
 
Huyo anataka apandishwe cheo awe mke mkubwa
 
tafuta kazi mkoani uwe unarudi akikumiss, mwanamke wa leo anapenda sana utawala, wanawake waliisha baada ya vita ya kagera. kanisa katoliki ili uwe kiongozi wa jumuia lazima uwe na ndoa sio kuwa wenye ndoa ni watakatifu la hasha , ila kwenye ndoa watu wanaamua tu kunyamaza na kujifanya wajinga maisha yaende, ukiweza kuishi na kiumbe kinaitwa mwanamke basi unaweza ongoza na kuishi na hata na chui bila shida
 
Mbona hujaweka kabila la mke sasa ili tujue pakuanzia.
 
Fuata maelekezo aliyotoa Mwenyezi Mungu kupitia Biblia....ishi nae kwa akili!
 
Mwanamke akikuzidi vitu viwili umekwisha..... Akili na Pesa

Rudi tu kwenu ukaishi na wazazi 😹
 
Ushayakanyaga, embu tumia uanaume wako kua zia kitandandani
 
kibao kimegeuka sikuiz wanawake wanatunyanya sn na mkuu usifikiri ajui anachokifany wanaakili sn we akizingua piga jifanye ww ndio mwehu utain km hatatulia
 
Hiii nikwwli kabisa,baadhi ya wanawake wamelelewa tofauti sana kumbadilisha ipo kazi.
 
Ongeza watoto awe na majukumu ya kulea. Kama shida ni hiyo tu si muasherati yanavumilika endelea kuwa Kiongozi wa nyumba yako.
 
1.mpeleke kwao akapumzike hata miezi mitatu mazoea yamezidi. 2.kama uwezo upo mpandishe cheo aitwe Be mkubwa
Hivi mfano kama mwanamke hataki kuondoka utafanyaje? Maana kuna wengine wajeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…