Escobber pablo
JF-Expert Member
- Jun 17, 2024
- 302
- 695
😆😁😁Umefanya nikumbuke police test yule mama alinifanyia hichi kitu nikabaki nimesimama nikawasha na hazardClutch ina principles zake.. ukanyagaji hakikisha pedal inafika mwisho..
Uondokaj ktk sehem flat ni kawaida.. kimbembe ktk milima au miinuko alaf nyuma kuna gari mbele gari ndio utajua Maharage ni mboga au futari.
Ukikanyaga mafuta mengi ukarusha mguu ktk clutch unaparamia gari la mbele.. ukikanyaga Clutch bila brake chuma inarudi nyuma.. 😁 mboga moto ugali moto.u😆😆🎙️